medisonmuta
JF-Expert Member
- Oct 10, 2014
- 2,442
- 1,527
Scary movie 1 to 4
Msimu...Season ni kitu gani?
AVENGERShichi kitu ni too much fiction,ila navutiwa sana kudanganywa na hizi mambo, wazungu ni nyokoKuna movie nacheki hapa ni zaidi ya uwongo yaani hata mtoto mdogo humdanganyi hivi.
Tujuzane movie zenye uwongo ulioptiliza kama si kutukuka.
1.Mission Impossible 4 na 5
2.Spectre ya James Bond
karibu uendelee na wewe...
Daah nimecheka sana'Muvi' zote za Mzee wa Upako Channel Ten in uwongo...
Labda jini MsafiJini anavua viatu akitaka kuingia ndani kwa mtu
usinifundishe kaziacha kuharibu uzi
Tom Cruise hana mfano wake kwa uwongomad max,appokalypto
uwongo ulioje pale anaporuka juu ya lorihalafu kuna Salt ya mwanadada Angelina Jolie