Movie ambazo zimepitiliza Uwongo

Movie ambazo zimepitiliza Uwongo

Kuna muvi moja kuna scene jamaa alikua anakula mzigo ghafla majamba wakaingia akachukua gun huku akiendelea kutomboka akawa anawa shoot wale jamaa. Alivyo waua wote na mchuchu akawa kafika climax... Ni moja ya muvi yenye uongo balaa. Sijui inaitwaje nashukuru kwa anayeifahamu akinijuza.
 
Inaitwa "shoot em up" kama sikosei... jamaa aking'ata karoti anaona vizuri hapo hapo.. af karoti hiyo hiyo akamdumbukizia mshkaji jichoni akafa.. daaah.. ila I love ficton movies balaaa.. za ukweli wangalie zile za mandela na dokyumentari
 
Itabidi niizingatie hii.
 
Back
Top Bottom