Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,234
- 68,268
- Thread starter
- #41
hata the bodyguard pale anapokwepa risasiThe one ya Jet lee hii imepoteza hadi uzuri mana zipo za uongo una enjoy hii uongo umeharibu kabisa
hata the bodyguard pale anapokwepa risasiThe one ya Jet lee hii imepoteza hadi uzuri mana zipo za uongo una enjoy hii uongo umeharibu kabisa
Nakuunga mkono, umkute bella bellz na lile takko lake anavyoliwa tigo hamna uwongo pale!!!Movie za kweli no zile za wakubwa tu...yaani mi nawakubali wale!
nilishindwa kuielewaFAITH series ya kikorea.
Kwaninikama ni ya kihindi siangalii
Hahahahahaha mkuu nakuunga mkono asilimia 100....daah Amir Khan kazidi mule...khaaaa!!Kuna movie inaitwa dhoom 3, angalia iyo
ndefu mnoKwanini
Kuna moja siitaji. eti binti anamwekea mwanaume sumu katika chakula akiwa jikoni, halafu anaonja kama imekolea.... ni movie wala sio comedy!!!!!Bongo muvi zmepitiliza uongo na uhalisia ni ziro yaani sifuri
Ina maana hujawahi kuangalia seasonndefu mno
season nishacheki sana ila hizo za kihindi huwa hazipandiIna maana hujawahi kuangalia season
Duh!'Muvi' zote za Mzee wa Upako Channel Ten in uwongo...
acha kuharibu uziNakuunga mkono, umkute bella bellz na lile takko lake anavyoliwa tigo hamna uwongo pale!!!
Season ni kitu gani?Ina maana hujawahi kuangalia season
Ameshaelewa aliyeulizwaSeason ni kitu gani?
Movie za Stephen chow zote ni cancerShaolin soccer hakunaga.
aiseeSeason ni kitu gani?