Movement: Tunataka Katiba Mpya Tanzania

Brutus... thanks for the vote of confidence..hujanipa ushauri chama gani? naona kama mtu unataka kufanya kweli ni bora iwe CCM... so na ukosoaji wangu huu wote unafikiri wanaweza hata kuniangalia? Sidhani CCM inahitaji mpiga kelele kama mimi! kuzungumza huku shamba inatosha..!
 
Brutus... thanks for the vote of confidence..hujanipa ushauri chama gani? naona kama mtu unataka kufanya kweli ni bora iwe CCM... so na ukosoaji wangu huu wote unafikiri wanaweza hata kuniangalia? Sidhani CCM inahitaji mpiga kelele kama mimi! kuzungumza huku shamba inatosha..!

Yale maandalizi ya Kurudi nyumbani yameishia wapi?
 
KNKCU, jinsi mambo yalivyo huko naweza kujikuta napata kiharusi! Jasusi, na uropokaji huu si ntajikuta nimesema visivyosemwa?
 
Mzee Mwanakijiji,

Umewafafanulia vizuri sana wabunge namna walivyopashwa kumjibu Gaudence Kayombo. Kayombo alidanganya (labda bila kujua) aliposema separation of powers hairuhusu wabunge kuridhia mikataba ya kiserikali kabla haijawa sheria. Ni wazi kabisa toka kwenye ibara za katiba ulizotaja (IBARA 63(2) (E)) kwamba Wabunge wana haki na uwezo wa kuhakiki mikataba kati ya Jamhuri ya Muungano na mtu yeyote.

Inabidi wabunge wawe wanaifahamu vizuri Katiba. Wanaapaje kuilinda kama hata hawaifahamu? Kama wangekuwa wanaifahamu, wangejibu huo uongo wa Gaudence Kayombo hapo hapo, kwa njia ya swali la ziada.

Gaudence Kayombo amejichanganya aliposema wabunge wana uwezo wa kusimamia serikali inavyotekeleza mikataba, na huku anasema hawana uwezo wa kudai kuiona mikataba yenyewe. Kuna level mbili za kuona mkataba. Kuna kuuona kabla haujasainiwa na kuwa wa kisheria, na kuna kuuona wakati umeshasainiwa. Inaelekea kwa sasa wabunge wananyimwa kuona mikataba hata baada ya kusainiwa. Watasimamiaje utekelezaji wake?

Wabunge watumie Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kulazimisha serikali isisaini mkataba wowote bila ridhaa ya Bunge.

Wanaong'ang'ania mikataba iwe siri na isiridhiwe na wabunge wana lao!

Augustine Moshi
 
mkjj
wewe nenda CCM tu watakukubali, na ww ukiingia giningi watakupa unga wa ndere basi haya makeke yako yataisha.

hivi unazani wale wote waliokuwa kule hawakuwa wazuri kama ww? lkn giningi watu hupewa unga wa ndere na ukionekana una mawazo ya duniani unaongezewa dozi, hadi unafika kuwa zuzu.

hapo daima itakuwa ni kuisifia mamlaka ya b kirembwe, daima utasema adumu BI KIREMBWE na siasa zake.

na nyeusi utasema nyeupe na nyeupe utasema nyeusi.

kwa hiyo wao hawaogopi wanajua vipi kumchange mtu ukaja hapa na kuwa mtetezi mkubwa wa ulioyapinga jana.

utwambie watanzania wavivu wa kufikiri, mambo yoote waa waaaaaaa.
 
Mheshimiwa Mwanakijiji!
Kagombee CCM... umesahau ilitabiriwa kwamba upinzani wa kweli utatoka CCM?
Inabidi tuzalishe mbegu mpya!
Mbegu chapa Mwanakijiji naona inafaa kuwa mfano!
 
sasa usisahau utakapoamua kugombea kuunda kamati ya ufundi.

wewe ni pm nikupatie address za wahusika adha wise wanaweza kukufanya msukule si si emu si mchezo(jokes)

sikukuu njema ya muungano

halafu tuandalie speech za mzee karume na nyerere kuhusu muungano(mzee ni ombi si amri)

hasa tukijiandaaa ktk kilelele cha kuadhimisha siku ya muungano
 
Brutus... thanks for the vote of confidence..hujanipa ushauri chama gani? naona kama mtu unataka kufanya kweli ni bora iwe CCM... so na ukosoaji wangu huu wote unafikiri wanaweza hata kuniangalia? Sidhani CCM inahitaji mpiga kelele kama mimi! kuzungumza huku shamba inatosha..!

Well....unaweza kwenda na ukawa mwanaharakati wa kuliamsha taifa na wananchi wake. Sio lazima uwe mwanasiasa.....ukiamua kuwa mwanasiasa basi upende usipende lazima uta-forsake integrity (especially in these days).

Kuzungumza ukiwa shamba hakuna ubaya lakini kama walengwa wako wengi ni wanakijiji na wakulima wenzako basi lengo lako haliwafikii walengwa kwa sababu wengi wao hawana fursa ya kutumia mtandao. Endelea na kazi nzuri!
 
Ebwana Mwanakijiji...if I may digress for a moment...
Ule mpango wa kuwa na interactive shows kwenye KLH news unaendeleaje? Nauliza maana kuna siku ulikuwa unafanya majaribio and I thought it would a FANTASTIC idea kwa sababu wengine kama mimi ni wavivu wa kuandika maoni yetu kutumia kompyuta but can participate more and in a meaningful way if you had sessions that would include call-ins. Trust me, Nyani is not all about aggravating people.....he has ideas and opinions too...Lol!!

Anyway, I was just wondering how everything was coming..
 
Mzee Mwanakijiji:

Ingekuwa wachangiaji wetu wote hapa wanachangia objectively kama wewe, wakubwa wetu wengi wangekuwa wanakuja hapa na kujifunza maoni hasa ya wananchi, they're not necessarily correct lakini at least ni views zinazoweza kusikilizwa na wasomi, this is good and I encourage you and others to embrace this line of argument....wakubwa wengi for information tu wapo aware na JF ila honestly sina tena nguvu ya kuwahimiza wapite hapa kwani siku hizi 'upupu' ni mwingi wengi wao wakiingia siku mbili tatu wanalose interest kwa vile hamna hoja.... hivyo ni wito kuwa kama mnataka sauti zenu zisikike basi toeni kwa hoja na uchambuzi yakinifu sio kubwabwaja tu nk...


On the issue:

Separation of powers ni pana zaidi ya alivyoeleza sahihi kabisa mheshimiwa Kayombo, yaani yes ni kweli kama alivyosema mwanakijiji kuwa ipo haki kwa wabunge kujadili mikataba ya serikali ambayo jina la serikali limehusika, sasa wabunge wana haki ya kujadili na kuelezea mapungufu [if any] ya mikataba nk lakini sio kama anavyosema Mzee Moshi kuwa ''kuhakiki'' hii ni kazi ya watendaji wa serikali...

Bunge lilikuwa na haki ya kujadili mkataba wa Richmond in the context of:

- Validity [ ni sababu zipi zilizopelekea mikataba husika ikaingiwa]
-Execution [ umetekelezwa kivipi]
- Deficiencies [kasoro zozote zilizojitokeza nk]

Kama mbunge ana hoja ya msingi katika hayo anaweza kuuliza in terms of swali binafsi na ikiwa wabunge woooote wataridhika basi wanaweza kwa pamoja kutoa kauli iundwe tume huru ya kuchunguza 'kadhia' [ mind the language] ili ukweli ujulikane.... tume ikitoa kauli yake basi hapo inakuwa ndio the beginning of the end for the matter yaani aidha wanaohusika kama wamezembea wataondolewa au kuwa exonerated...

Lakini Bunge kama haliwezi ku-overlap majukumu ya serikali [executive] kwa kuuandika mkataba, kutathmini utekelezaji wake wa day to day nk sasa hoja kuwa mikataba ipitiwe ''kabla'' ni hoja mfu kwa vile there is no legal mandate for the parliament to do that....

Imagine everyday serikali inaingia mikataba mingi sana ya kiutendaji, inatoa tenders, kandarasi na inapokea misaada mingi tu ya kifedha ambayo inainvolve some form of mikataba, kwa hiyo kama mikataba yote hii inabidi ipitiwe na bunge...it will be detrimental to gov't activities....

Ni pale tu ambapo kama bunge lina wasi wasi wa Rushwa ndio linaweza kuipitia au kuhoji uhalali wake.... kama richmond mnahisi ina walakini mwambieni Zitto....
 
Duuhh,

Hawa wabunge inabidi wapewe shule ya Katiba................aahhhh no kuna ma-confuser (vihiyo) mule kwa hiyo hata shule ya katiba itakuwa kazi bure..............duuuhh

Mwanakijiji endelea na kazi nzuri, nisingependa tukupoteze hapa kijiweni
 
Mzee Mwanakijiji:

Ingekuwa wachangiaji wetu wote hapa wanachangia objectively kama wewe, wakubwa wetu wengi wangekuwa wanakuja hapa na kujifunza maoni hasa ya wananchi, they're not necessarily correct lakini at least ni views zinazoweza kusikilizwa na wasomi, this is good and I encourage you and others to embrace this line of argument....wakubwa wengi for information tu wapo aware na JF ila honestly sina tena nguvu ya kuwahimiza wapite hapa kwani siku hizi 'upupu' ni mwingi wengi wao wakiingia siku mbili tatu wanalose interest kwa vile hamna hoja.... hivyo ni wito kuwa kama mnataka sauti zenu zisikike basi toeni kwa hoja na uchambuzi yakinifu sio kubwabwaja tu nk...

Mimi siwezi kusikitika hata kidogo kama wakubwa hawaji hapa. Hoja yangu kubwa ni kuwaamsha walalahoi wa Tanzania waelewe wanavyochezewa na hao wakubwa wa nchi.
 
Nimezungumza na Naibu Waziri Mhe. Kayombo.. na kati ya vitu nilivyomuuliza ni serikali itafanya nini endapo wabunge watatunga sheria inayotaka mikataba ipitiwe na kamati ya Bunge? Kwa ufupi jibu lake ni "we'll cross the bridge when we get to it"!
 
Mheshimiwa Kayombo katoa jibu zuri sana, a real answer for hypothetical question!

We need more Kayombos in government.....

Chagua CCM!
 
I say no!
That was a terrible answer.....a not so forward-looking answer. Is this what we want from our leaders? Hell to tha no!
 
Back
Top Bottom