MAKUBALIANO BAINA YA SERIKALI YA TANZANIA NA JIMBO LA SHANDONG LA CHINA KUIFANYA UBUNGO KUWA SOKO LA KIMATAIFA
Serikali kupitia makubaliano ya Memorandum of Understanding almaarufu MoU na jimbo la China la Shandong sasa kugeuza eneo la Ubungo kuwa soko la bidhaa toka jimbo hilo la nchini China na waziri mdogo wa uwekezaji wa Tanzania na kwa kutaja kwa uchache bidhaa hizo
Tanzania imedhamiria soko la kimataifa la Ubungo Dar es Salaam kuwa kitovu cha kuvutia wateja toka nchi zote zinazopakana kwa mpaka na Tanzania ili kuja kununua bidhaa za China badala ya kupanda ndege kwenda hadi China kupata bidhaa hizo .

- Vifaa vya ujenzi
- Mabati
- Tiles
- Milango
- Madirisha
- Nguo
- Vifaa vya matumizi vya ndani /Home appliances
- N.k n.k