"Moto umewawakia, hawawezi kuuzima" - Mengi

Kweli kabisa ingawa wanaume mabazazi watatetea mi naona hata waliofiwa hutafta watu wazima sio sana wakusogeza siku
Tafuta mtu ambae hata mnaendana basi japo asiwe mzee mwenzake but asiwe mtoto pia.....

Ukichukua dogo dogo mnoo ni headache, na presha hakuna jema duniani asee!
 
Kweli kabisa awazidi hata wanao kidogo umri.
Tafuta mtu ambae hata mnaendana basi japo asiwe mzee mwenzake but asiwe mtoto pia.....

Ukichukua dogo dogo mnoo ni headache, na presha hakuna jema duniani asee!
 
Duuh mkuu kumbe na huu uzi ulitia neno 2009....[emoji15] [emoji15]

Zogwale
JF kiboko...... So Mengi ana ndoa tatu! Ya Mercy kaniaani, Lilian DC kinondoni na mwisho Jack hii sijui ilifungiwa beach.....?
 
Duuh mkuu kumbe na huu uzi ulitia neno 2009....[emoji15] [emoji15]

Zogwale
Yes Mkuu. Niko huku jamvini toka July 2008.
Nilikuwa very active those days. Mimi ni mpendwa haki mno na mzalendo mfia nchi. Ukipitia hata post ZANGU Jukwaa la Siasa utaona jinsi nilikuwa radical. Mimi siyo mpinzani hata punje ila niko very against na serikali ya kifisadi. Ndiyo maana kwa Rais wa sasa Mh. Dkt JPM natamani aiongoze Tanzania mpaka maisha yake yamalizike. He is doing what I cried for just after the passing if our late Fr of Nation where a few threw away ARUSHA declaration na kuanza kutumbua nchi. Long Live my JPM.
 
We are together mkuu[emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Headless chicken......nyambaf kabisa aa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...best ake za misiku!

Kwenye udaku udaku sikuoni kabisa[emoji15] ...hakika we ni real gentleman!

Nimekuwa now asee nitag na kwenye makinikia[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaaa!! We mtoto wewe... nisije nikakuzeesha kabla ya wakati wako... story zingine ni full stress! Anyway, mi niko poa best, sina shaka nawe uko poa pia!
 
Haahaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]....zigo kama la ACACIA unitupie lazima niote mvi[emoji15]

Niko ok best...karibu lunch
 
Kweli kabisa ingawa wanaume mabazazi watatetea mi naona hata waliofiwa hutafta watu wazima sio sana wakusogeza siku
Lilian na rita walikua mahawara zake kwa vipindi tofauti,ila huyu jacky ndio tuliona picha za harusi
 
Haahaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]....zigo kama la ACACIA unitupie lazima niote mvi[emoji15]

Niko ok best...karibu lunch
Umeona enh!! Basi siku hizi nikiku-miss kwa sana sana nitakuwa nakuja kukulia chabo kwenye majukwaa ya umbea Class E!
 
Back
Top Bottom