"Moto umewawakia, hawawezi kuuzima" - Mengi

"Moto umewawakia, hawawezi kuuzima" - Mengi

"My Take:
Nashindwa kuelewa kwenye nchi ambayo ina sheria kali ya magazeti na ambapo watu wanaimba kila siku suala la maadili ya "kitanzania", kwanini tumefika hapa tulipofika? Waziri wa Habari ataendelea kukaa pembeni na kuangalia kusambaa huku kwa habari za kupakana matope hadi kwenye vitanda vya watu? "

Hivi MMK wa miaka hii yuko wapi ?

Mzee wangu vipi sasa hiyo "My take" yako bado una msimamo huo ?

Hivi Musiba alivyosema Zitto anatembea na mke wa Deo Filikunjombe ulijitokeza kukemea ?
 
Pamoja na yote haya kwenda kuoa mtoto wa umri tena mdogo kuliko watoto wako unategemea nini??? Ni kama yale ya Mugabe!!!!! Sasa kama binti aliweka picha face book yake si ushamba huo??? Hayo ni mambo ya private sana hasa ukizingatia Mengi ni married and he is still married to his first wife until wameagree divorce. Kitu ambacho yule mama hana mpango nacho. Huu ni ulimbukeni kutaka kupata umaarufu kwa kuwa ameolewa na tycoon. Sasa yameshauanza moto na kuuzima hawatauweza. Kibao kimewageukia.

Kitu ninachoomba ni kwamba Mengi aache kwenda kwenye majukwa ya dini na vimchango vyake. Ni dharau kwa Mungu. Wachungaji wote Tanzania wanajua kuwa Mengi hana ndoa iliyosimama na mke wake wa ndoa?? Je wamemsaidia kiasi gani kusuluhisa ile ndoa?? Au wanamwogopa maana wakiuliza watanyimwa pesa??? Hapa kidogo masuala ya hizi dini na utajiri wa mtu linanipa shida sana. Mchungaji wa kweli ni lazima ahakikishe kondoo wake wako salama. Kwa maisha ha Mengi ya kuwa na vimada na uzinzi mwingi sana hapa mjini ilitosha kabisa kumfungia shughuli za kikanisa. Mimi nikimwona akisimama katika hizi harambee za dini huwa nazima tv, ni mnafiki hafai.

Huwa namtetea sana Mengi kwenye issues nyingi za kumpinga ila kwa hili la kuoa na kuacha na kuanza ku date mabinti wadogo (kuna watu wanamkuadia mabinti na inajulikana) ni aibu. Sijua kwa nini hakupata fundisho kwa madame Ritta. Kama alitofautian na mke wa ndoa basi angetafuta angalao a descent woman mwenye umri wa kuheshimika ndipo aishi naye tena ki silencer.

Huyu Lilian pia is not a descent kid!!!!! Ana wanaume kibao hapa mjini!!!! Wakati anasoma sheria chuo alikuwa ameshaolewa tayari, na jamaa mwenye uwezo tu na alikuwa anakuja na usafiri mzuri tu (self drive) na alikwa amezaa tayari. Je yule mume wameshatalikiana??? Ukweli ni kwamba hata mumewe wa awali alishindwa kuishi na huyu dada maana ni Kicheche cha ngono. Eti Mengi naye anaona kaoa, pengine labda kwa show off tu.

Wana JF inapokuwa tunasema ukweli kuhusu jambo tuwe makini kutetea hata lile ambalo ni kinyume na maadili. Tena wale vipenzi wa Mengi mliomo humu naomba mtafuteni mpeni counselling ya maisha. Amefanikiwa sana kibiashara lakini si kifamilia na kimaisha kwa ujumla. Mafanikio ya mwanaume ni jinsi gani ameweza kuwa na familia imara na si kiasi cha liquid and non-liguid assets. It is too much and greedy for him.

Askofu Malasusa, Laizer na wengine wanasemaje kwa hili??? Hivi anathubutu kukaa naye high table kwenye fund raising za KKKT?? Watu wamefanya dini biashara.Wachungaji na maaskofu wa zamani wasingekubali hata Mengi kuwasogelea. Ameudhi hata wanawe kwani kila siku baba ni kubadilisha wanawake kama kanga au magauni??? it is too much fo them.
Duuh mkuu kumbe na huu uzi ulitia neno 2009....[emoji15] [emoji15]

Zogwale
 
Itakuwa.....kuna uzi humu unatrend mpya mpya kafunguka balaa!
Naona ushakua na umeanza kutembelea hili jukwaa!!! Kuanzia sasa nitakuwa naku-tag threads za makinikia na chuma la Liganga bila kusahau taarifa za Kabanga Nickel na zile za mapromoko ya Stigla!
 
Naona ushakua na umeanza kutembelea hili jukwaa!!! Kuanzia sasa nitakuwa naku-tag threads za makinikia na chuma la Liganga bila kusahau taarifa za Kabanga Nickel na zile za mapromoko ya Stigla!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...best ake za misiku!

Kwenye udaku udaku sikuoni kabisa[emoji15] ...hakika we ni real gentleman!

Nimekuwa now asee nitag na kwenye makinikia[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ni shida hawa wanaume aisee kumbe Ana ndoa nyingi mzee aliruka stage nini ya kuhangaika wakati wa balehe. Yeye damu inachemka uzeeni uwiii. Wanawe waona aibu angefanya hata sirini walah
Nimewanyooshea mikono!
 
Ni shida hawa wanaume aisee kumbe Ana ndoa nyingi mzee aliruka stage nini ya kuhangaika wakati wa balehe. Yeye damu inachemka uzeeni uwiii. Wanawe waona aibu angefanya hata sirini walah
Alikuwa busy na kutafuta mihela[emoji12]
 
Back
Top Bottom