Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,587
- 60,997
Tunampokea kwa kishindo, mwambie aje hapa kona baa apate angalau balimi mbili.
KabisaWewe Jamani
Sio kweli,watu wasijeamini Bure 😜Kabisa
Mwenyewe nimeshangaa kwahiyo shoga angu alikuwa anatuchora kama ndio yeye lakini
Na mtu akilewa huwa anaongea ukweliBro nimelewa ila ni humo humo ka kimasta[emoji2]
Huko juu wanasema sio maza komfesa niliyemaanisha mimi 😁Mwenyewe nimeshangaa kwahiyo shoga angu alikuwa anatuchora kama ndio yeye lakini
Sio Mimi jamani ndio kwanza naiona hiyo id mke mkubwa🥲
Huyu mlevi sasa inabidi afuatiliwe🙆♂️🙆♂️Sio Mimi jamani ndio kwanza naiona hiyo id mke mkubwa🥲
Anazua taharuki huyu chaulevi!Huyu mlevi sasa inabidi afuatiliwe🙆♂️🙆♂️
Naona unapiga za utosi sasa 😂😂Sema Mangi hii Manzi unaielewa sana, hizi mambo ni ngumu sana kuficha.
Hana noma familia huyo, akikuzingua ujue umezingua parefu.Naona unapiga za utosi sasa 😂😂