Kunywa nimewahi, kama miaka 20 iliyopita ( mambo ya balehe) ila sikuwahi kunywa kiasi cha kulewaUnakunywa na hulewi? Au hujawah kunywa?.
Mmh hebu jaribu siku. Unakufaje hujawah kulewa ?😊😊😊
Tayari nimeunganisha dot na jamaa akilewa huwa anaongea point tupu.... Watu wana ID kama uchafu humu
Unaona mambo yenu walevi, yaani pesa yako ni lazima inunue pombe ndio ufurahi?Uje tunywe , na vibe sana nikiona pesa yangu inavyotumika khantwe wangu🤗
Basi kunywa mwenyewe ufurahi
Nimegundua wewe na mother confesa ni wapenzi.. 😂 Ila allkuttema sasa unalialiaHahaha umegundua nini Bwashee
Hata wakitaka na kuninyonga siwezi ogopa 😁😁Unaogopa
🤣 Uo wimbo wa kitambo sana mtu tatu ndani ya traki moyaDipreee kama dipreee🤣🤣
Hiyo ngoma iliimbwa na wakalidayo wa apo chuga sikumbuki jina laoBwashee 🤣
Niletee basiHata wakitaka na kuninyonga siwezi ogopa 😁😁
🤔🤔🤔🤔Mwandiko unawatofautisha sana sema mleda maada huenda yuko mbwiii