Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 60,975
- 124,101
Na wewe umekosea, wapi ametajwa Mother Confessor 😁
Na wewe umekosea, wapi ametajwa Mother Confessor 😁
Tena ukivaa kinywaji unapewa bure 😁Mbona hamjawai niambia kuwa naweza vaa nguo zikafanana na vinywaji 😜
🤣🤣🤣 Mimi nimechanganyikiwa and your comments aren't helpingUkilewa usichat 😄
Sema siri ukimpa mlevi haiko safe hata kidogo, ona sasa 😂
Kuna movie inaitwa Legend of the Seeker , kuna mwanamke kule ana nguvu ya ajabu. Anaitwa Mother confesor.Na wewe umekosea, wapi ametajwa Mother Confessor 😁
leo unalewa had saa ngap? Na uko wap?. 😊😊😊😊.Huyu nimemuona anataka kuleta taharuki 😁😁
Unabugia tu ma Castle_Lite 😁😁 Mungu hapendi, tangu nimeazaliwa sijawahi kulewaleo unalewa had saa ngap? Na uko wap?. 😊😊😊😊.
Mm naona mabia yanagoma kushuka leo. Na nikichanganya tu. Ndio gudubai 😊😊😊. Saa 9 hii hapa. Na sitaki niwake. Maana tmr kanisani.
UnafeliUnabugia tu ma Castle_Lite 😁😁 Mungu hapendi, tangu nimeazaliwa sijawahi kulewa
Acha tu nifeli sio lazima wote tufauluUnafeli
Unabugia tu ma Castle_Lite 😁😁 Mungu hapendi, tangu nimeazaliwa sijawahi kulewa
Kaliwa nauli,anapunguza machungu kwa kugida soda.Mbona kama huyo ni ndugu mbunge 🤣
😅😅Tena ukivaa kinywaji unapewa bure 😁
Unaogopa😁😁😁 kwisha kabisaaa
Sina kwakweli.Hahaha siri gani unayo shindii🤣
Nitumie ninywe sodaHaha njoo tunywe nalipa