Utak
JF-Expert Member
- Jul 1, 2025
- 857
- 3,413
Pole bwashee halikua kusudio languš¤£Ile bwashee wewe ni mbaya sana , umeleta kiu , mpaka nimeamua kujitunguaš
Pole bwashee halikua kusudio languš¤£Ile bwashee wewe ni mbaya sana , umeleta kiu , mpaka nimeamua kujitunguaš
Hivi nilikua nimesema ni nini inaombwaInaombwaje bwashee
Ahaa mule muleTamuu etiš
š¤£š¤£š¤£Nashindwa kualewa juzi kamera zetu zimemnasa kitaa cheupeš
Evelyn Salt tangu awe platinum siku hizi anakoment kingereza tu.Seran zamani ndo alikua nani jamani...huyu mtu nimerudi nakuta ni maarufu kuliko Evelyn Salt
Weee....sijakutana nae kabisa š š š šEvelyn Salt tangu awe platinum siku hizi anakoment kingereza tu.
Yupo anatafuta mke, amechoka kulala kama pangaš¤£š¤£š¤£Weee....sijakutana nae kabisa š š š š
Wacha basi tutamuoza kinguvu huyo tutamtafutia mubaba sio yy awe mubaba....Yupo anatafuta mke, amechoka kulala kama pangaš¤£š¤£š¤£