Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,087
- 54,986
Sema wakubwa mnaenjoy sana hata hamtumii energy kubwa.Penzi ni kikohoziii kulificha huwezi🎼🎼🔊🎵🎶
Mke mwenza Seran nitakusemea kwa mume wetu.
Sema wakubwa mnaenjoy sana hata hamtumii energy kubwa.Penzi ni kikohoziii kulificha huwezi🎼🎼🔊🎵🎶
Mke mwenza Seran nitakusemea kwa mume wetu.
Tunainjoi nini we mtoto?Sema wakubwa mnaenjoy sana hata hamtumii energy kubwa.
Mbinu unayoitumia hutopata shida kupata mchuchu humu.Sema wakubwa mnaenjoy sana hata hamtumii energy kubwa.
Mi bado sijajipata hawa warembo wa humu ntawalisha nini?Mbinu unayoitumia hutopata shida kupata mchuchu humu.
Adult field.Tunainjoi nini we mtoto?
Mbinu yako ni nzuri.Mi bado sijajipata hawa warembo wa humu ntawalisha nini?
Wala hata sifanyi uvuvi haramu.Mbinu yako ni nzuri.
Aaah hata hatuenjoy, ni kubayaaaa🤣Adult field.
Ni mke mwenzangu.Kwani huyo Seran ndio nani huko Daslam?
Ndio kwanza naliona hili jina hapa JF!
Bwashee😄😄! Mzee wa sometimes_ sometime Mangi, sometimes Manka.Karibu mwenetu wa faida kutoka kwenye ban , ila sijajua kosa lako , ila siwalaumu mods , seran karibu sasa sisi wafuasi wako ,tuna kukubali kinouma 🤗View attachment 3641482
Seran ,She carries the weight of the world without asking for sympathy.
Unaleta kiu bwasheeKwenye Moja na mbili....
NView attachment 3642340
Naoana wadau wanakutilia mashaka Bwashee.Sidhani bwashee
Ni kamzozo kwa kwel.Aaah hata hatuenjoy, ni kubayaaaa🤣