Dipreee kama dipreee🤣🤣Mtu tatu ndani ya traki moja
Watu wanapotea then wanarudi kivingine🤔🤔
😁😁😁 kwisha kabisaaaKamatwa kwa ajili yangu Baba.
Kwani kuna shida.
Halafu unawaambia kabisa ulikuwa unaniletea mimi.
Humu ndani it is possibleNa huenda ni I'd zake mwenyewe zote
Who knows 🤔
Mwendo wa kujitekenyaJf watu hujilambaga wenyewe!..
Bro nimelewa ila ni humo humo ka kimasta😃
Watu wanapotea then wanarudi kivingine🤔🤔
Ukilewa usichat 😄
Sema siri ukimpa mlevi haiko safe hata kidogo, ona sasa 😂
Kashamwaga mboga 😂Mlevi anashatoa "code".. 😊
Hahahaaa kwa pozi hili lazima mgeni ajiulize mara mbili..
Ukishapiga vitu vyako weka simu yako mbali!!Haha sikujua kama kuna I'd hiyo bwashee 🤣
Huyu sio wa kumpa siri zako kabisaa🤣🤣Ukishapiga vitu vyako weka simu yako mbali!!
Hata wewe!!Huyu sio wa kumpa siri zako kabisaa🤣🤣
🤣🤣🤣 sio sana, kidogo tu.Hata wewe!!