MOSHI: Mji uliosheheni walaji wa 'kitimoto'

mambo ya walawi ni agano la kale ndo walikataza
lkn yesu aliruhusu kwenye agano jipya
Huyo ana njaa mkuu naomba achana ne akiona Nguruwe anapatwa na Frustration na Expansion Joints.
 
Biblia inasema vyakula vyote vipokelewe na kuliwa kwa shukrani baada ya kuviombea 1Tim 4 : 1 - 5 .
Kama unaipenda Biblia na kuiamini andiko hilo hapo linaloruhusu misosi kuliwa ikiwemo kitimoto.Kama hutaki unaweza tu kujinyea.
UNALETA BARUA ZA PAULO?
BARUA ZA PAULO NI MANENO YA MUNGU?
 
Kula na sumu basi Maana pia imeumbwa
 
hyo dhambi. Tukianza kufukua makaburi yake hapa.
HAKUNA DINI ITAKAYOBAKI SALAMA.
Mwisho wa siku LIWATI NI DHAMBI NA CHUKIZO KWA MUNGU.
KWA DINI ZOTE
Sasa kama unajua hilo unachoshangaa sisi kula nguruwe ni nini kama unajua hivyo.

Na hakuna walaji wazuri wa kitimoto kama nyie sema kuandika ulafi wa mtu jukwaani hapa sio vyema.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] we kula tu. Lakini jua ushaambiwa.
NGURUWE NI NAJISI KWENU. MSIILE NYAMA YAKE. WALA MZOGA WAKE MSIUKARIBIE.
Waliambiwa wakila wanapata madhara gani au Mungu Anakasirika kwa kiwango gani?
 
Chagga bite mtura na mbuzi.kuna kitimoto pia siku hizi naskia kwa order.
 
Kula kitimoto na vitu vya ngano kama wazungu ili uje nawewe kubuni kitu chako kama Martin Cooper alivyobuni simu yaani asubuhi unaamkia mihogo au magimbi sasa akili itajicharge muda gani?
 
Kula na sumu basi Maana pia imeumbwa
Wewe nae sijui unatokea kifungoni kwenye msamaha wa rais, Unajua vyakuumbwa na kutengenezwa? Hakika kama utotoni mwako mama yako hakukupenga kamasi kweli lazima uwe zuzu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]spare my ribs pls...
 
Nilijua utasema hivyo , ila wee unataka barua aliyoandika jini?
[emoji3][emoji3][emoji3]. Unaleta MANENO ya mjanja mjanja. Paulo
MUHARIBU WA DINI.
Anawaambia MTU ASIWAPANGIE KITU CHA KULA. WALA CHA KUNYWA.
INA MAANA NYIE HATA POMBE MNAKUNYWA TU.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…