Moshi ipo kama nilivyoiacha


Sasa wewe ndiyo wale ambao kila sehemu ya Kilimanjaro kwao ni Moshi. Afisa mipango wa mji wa Moshi anahusika vipi na mji wa Boma ulioko wilaya ya Hai? Badilikeni siyo kila sehemu ni Moshi, kama sehemu inaitwa Masama iiteni Masama tu. Wote wanaotoka mkoa wa Kilimanjaro wanatoka Moshi!!!???
 
Nipingane na wewe kidogo!!
Nimeishi maeneo mengi sana ya Tanzania!
Hakuna sehemu yoyote yenye vijiji vilivyoendelea kama Kilimanjaro.

Baeleze huyo kiwatengu!
Wengi Moshi wanapasikia.., kwa wageni wachache ambao wamewahi kufika Moshi daima huwa kama si kustaajabu basi huwa wanapasifia sana kwa yale wanayoyaona (maendeleo kulinganisha na maeneo mengine ya Tz)
 
Last edited by a moderator:
Huu Mji haukui kabisa yani vilevile nilivyo Ondoka Miaka Mitano iliyopita inauma sana sijui nani kikwazo.Na huku Machame pia ndo vilevile jamani kunanukia ndizi tu.

Xmass iishe minirudi Nairobi.

We rudi ulikotoka coz huna lolote.. Et machame inanukia ndz! Ulitaka inukie sukuma wk Kama ulikotoka!
 
Nimeshangaa daladala mwisho saa moja dah imenishangaza marafiki zangu niliokuja nao kutoka kenya wanashangaa sana



hata kama umeamua kudanganya watu unaishi nairobi, usiongeze uongo tena daladala mwisho saa moja. siku za jumapili magari tu yanakuwa machache wengi wanapumzika
 

hawana tofauti na watu wa kibaha, kisarawe, mkuranga, wanaosema "nipo dar"!!
 
Unataka nani aukuze, wakati wewe unakula sukumawiki Nairobi? Rudi kwenye ufanyike hicho unachota.
 
Aiseee ni hatari sana
 
Yule mzee ndo hamna kitu kabisa kawadanganya wenzie kahodhi ardhi ya kutosha analalamika serikali haimsaidii kufanya uwekezaji yani hii mijitu ya Moshi imekaa kiwiziwizi tu mpaka viongozi wao.ngoja tumuone huyu mbunge wa sasa hivi maana siyo mchagga.
Mzee wa chama..hahahaa
 
Hueleweki, Kwanza Machame sio Moshi, Huko ni Hai! Labda unazungumzia mji wa Boma/kwasadala hapajakua, maana ndio town ya wamachame hiyo, kam ilivyo Himo/Njia panda kwa Wamarangu! Moshi mjini ya wa WAKIBOSHO, WAURU, OLDMOSHI... Hao ndio wamepakana na moshi mjini.

Huko kwenu Hai, tatizo ni Mbowe.....Anatorosha mabilioni nje badala ya kujenga huko.. Nasikia kuna viwanja alikuwa navyo moshi mjini hajaviendeleza, wanavichukua wenyewe......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…