Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,944
- 43,607
sasa ni UKAWA vs ACT, afu mwisho wa siku uchaguzi CCM inatoka kidedea, historia inajirudia...
CCM ni ushindi kama tuna nawa vile..UKAWA size yao ACT acha wapambane...Teh Teh..
sasa ni UKAWA vs ACT, afu mwisho wa siku uchaguzi CCM inatoka kidedea, historia inajirudia...
.... Nashauri Ukawa Waachane Na Act, Wauze Sera Zao Kwa Watanzania
Afadhali Mosses Machali anajitambua.
Ujamaa wa Ayatollah ni futuhi tosha
ungemlamba na kibao kabisa
Wakati mapambano haya yanaendelea CCM inaendelea kuwatumikia wananchi .
Bavicha ujamaa haupimwi kwa kuendesha baiskeli
Zitto si alishutumiwa kwa kumsaidia Kafulila kuukwaa Ubunge huko Jimboni mwake?Sio peke yake Machali
Kwa upande wa kafulila alisema "Kauli ya Zito ni ya kawaida kutolewa na wanasiasa.Leo hii hakuna chama kitakachojitangaza kuwa kitashindwa uchaguzi.Ni sawa na anayeuza dawa hata kama haimponyi yeye atainadi tu"
Kafulila ambaye kwa muda mrefu amekuwa na urafiki na zito alisema ushindi wake katika uchaguzi mkuu hautegemei uwapo wa act "Nimeshinda ubunge nikiwa NCCR na nitaendelea kushinda nikiwa na chama hiki.Wanaonipigia kura ni wananchi na ushindi uko palepale" alisema
Obama ambaye ni mwenyekiti wa wabunge wa kigoma alisema kauli ya Zito inalenga kujipatia "ujiko" kwa wananchi
Source ;Mwananchi Tar 10,April 2015 Ukurasa wa 7
Naona wengi mnapambana na ztt badara ya kueleza sera zao,inaonyesha alivyo zaidi yenu.
Zitto Kabwe, abakishe na maneno ya kesho kwa sababu aliwahi kujinadi anaenda kufundisha chuo na kuachana na siasa leo yupo kupambana na wabunge wa upinzani.
kawatisha Mdee, Mnyika sasa anaenda kuwatikisa wabunge wa upinzani Kigoma. najua kule ambaye wataelewana Tumbili
Kwa Machali:
Kauli aliyotoa ZZK siyo ngeni midomoni kwa wanasiasa
Ndio maana mwenzio David Kafulila amelijua hilo akaamua kupotezea sasa wewe unatoka mapovu sijui ya nini,
Sasa kama mtu mmoja anawatoa Jasho hivo mkija kushika nchi mtahimili mikiki ya upinzani kweli na hali ya kisiasa inakoelekea?
BTY : Time will tell huenda Zitto anajua anachokiongea.
Sio peke yake Machali
Kwa upande wa kafulila alisema "Kauli ya Zito ni ya kawaida kutolewa na wanasiasa.Leo hii hakuna chama kitakachojitangaza kuwa kitashindwa uchaguzi.Ni sawa na anayeuza dawa hata kama haimponyi yeye atainadi tu"
Kafulila ambaye kwa muda mrefu amekuwa na urafiki na zito alisema ushindi wake katika uchaguzi mkuu hautegemei uwapo wa act "Nimeshinda ubunge nikiwa NCCR na nitaendelea kushinda nikiwa na chama hiki.Wanaonipigia kura ni wananchi na ushindi uko palepale" alisema
Obama ambaye ni mwenyekiti wa wabunge wa kigoma alisema kauli ya Zito inalenga kujipatia "ujiko" kwa wananchi
Source ;Mwananchi Tar 10,April 2015 Ukurasa wa 7
Mkuu usilazimike kabisa, mimi ningewataka hata Chadema mtumie vitisho hivyo, maana ndivyo siasa huchezwa. Na ukiogopa kweli utajikuta umeshindwa. Hizi habari za lelemama hadi mpirani ndio maana humpenda Morinho, yeye kata funua utajijua mwenyewe, baada ya mpira ukimshinda atakupa sifa zako lakini kabla lazima akutishe..Tunalazimika kukuheshimu, ila kama una akili kauli ya ZZK ni ya kipuuzi lazima ilaniwe, kutishia wabunge kama kwamba anamiliki Kigoma sio sahihi na kauli hii ataijutia baada ya 2015
Kwenye habari za kipuuzi kama hizi pro chagadema huwa hawaulizi chanzo cha habari!!!
B.O.M.B.A.Y?meas Both Of My Breast Are Yours,nimestuka,HACHUNWI MTU HAPA!