Moses Machali amtaka Zitto kuwa na nidhamu

Moses Machali amtaka Zitto kuwa na nidhamu

Status
Not open for further replies.
UKAWA wengi vichwa maji wamesahau kuhusu CCM sasa wana pambana na mtu makini Zitto kabwe..

CCM itatawala milele..

Sasa nimeamini Zitto ni pandikizi la ccm na nimeamini pia zile tuhuma za kulipwa na Tiss tzs 2bn zilizozagaa kwenye vyombo vya habari na ambazo hazijakanushwa ni za kweli. Ukawa sasa mnao maadui wawili tena wenye ukwasi mkubwa ccm na act. Kazi iko!
 
UKAWA wengi vichwa maji wamesahau kuhusu CCM sasa wana pambana na mtu makini Zitto kabwe..

CCM itatawala milele..

Wewe kama kawaida yako unazidi kutapika uoza wako,wapi machali kamshambulia zzk?ccm kutawala milele?kweli wewe ghorofa umeezekea makuti.
 
ni kweli machali sio level ya zitto. Tangu lini mbembe zitto akawa na unasaba na muha(machali)?!! Hata vinasaba vyao vinaonesha hata kwa kuangalia tu.....kuna moja inasoma kongo nyingine tz.sasa kazi kwako kuchagua.
NB:uchaguapo kumbuka kuna operation kimbunga.....

Ukabila acha. Karne hii ya 21 ukizungumzia ukabila unadharaulika na unaonyesha bado mjinga hujaelimika.
 
Tumemshutukia huyu jamaa anapewa hela ajitangaze kwenye mitandao ya kijamii ili kila mmoja amuone anakubalika. Kwanza picha wanatengeneza ili tuwaone wamekubalika UKAWA MOTO MOTO
 
Huyu zitto kwanini si mnyenyekevu, malezi ya single p kisaikolojia inashida

mtu ambaye hajaoa hajakamilika hasa mwanaume unatakiwa unatoka kwako uko na mke wako mtu wa watu inapendeza kwa umri wa zito kweli na umaarufu wake ameshindwa kuwa na mke? mim naona ndio mana anaropokaroka hovyo heshima yake inashuka utakuwa mtu wa zinaa huna nyumba unachovyachovya hovyo
 
Zitto anasiasa za Kikabila na Kidini ambazo ni hatari sana kwa mustakabali wa taifa hili. Atakacho fanya kwa sasa ni kupandikiza chuki kwa wafuasi wake kua ACT ndiyo chama chao watu wa kigoma na vyama vingine vya upinzani haviwafai.

Kauli kama hizi ni kawaida sana kutolewa na akina Ruto ( the king of the rift) na Uhuru (moses wa wakikuyu). Ili ushinde Rift Valley unapaswa kumuunga mkono Ruto hata kama ukubaliani naye, ndio siasa zao zilivyojengeka namna hiyo, na ndio mana matatizo ya ukabila yanawatafuna sana wakenya.

Zitto please stop this kind of shit, acha kujenga chuki, uza sera zako, wapo watakao kuunga mkono na wapo watakao kupinga.

Hiyo siyo realistic kwa hapa Tanzania. Kwamba ili ushinde Dar basi lazima umfuate mtu fulani! Huo ni uongo.
 
Ayatollah Zitto ni mtu anayependa sifa na kujiona yeye ndio anajua kila kitu. Asubiri aibu mwaka huu kwenye uchaguzi.

Anatamba mini wakati 2010 alishinda jimboni kwake kwa taabu na hata madiwani hakupata? Na katangaza huko hagombei tena baada ya kujua kuwa lazima watammwaga. Aendelee kudanganya mazezeta kama yaliyojaa JF ambayo hayawezi kumtazama MTU machoni na kumjua kuwa ni mwongo au mkweli.
ZZK yuko kazini kuipa ahueni ccm kuepuka mashambulizi kuelekea october. Huyu jamaa ni nyoka na apaswa kushughulikiwa kama nyoka tu. Angetangaza wazi kuwa amejiunga na ccm wala kusingekuwa na noma
 
Kazi mnayo mtahangaika na Zitto hadi msahau priority zenu.
 
Last edited by a moderator:
Wewe kama kawaida yako unazidi kutapika uoza wako,wapi machali kamshambulia zzk?ccm kutawala milele?kweli wewe ghorofa umeezekea makuti.

Sasa yeye mwenyewe kaoza unadhani atatapika nini kama sip uozo?
 
Kazi mnayo mtahangaika na Zitto hadi msahau priority zenu.

Hapo ndio mnapopotea step, wewe umeona kuna kiongozi amejihusisha na ujinga wa zzk? Majibizano ya JF hayahusiani na uendeshaji wa UKAWA
 
Last edited by a moderator:
Machali wewe ni mbunge wa jimbo langu, lakini ukweli ni kwamba uwezo wako ni mdogo sana, na wananchi wa Kasulu mjini tulikupa kura kama njia mojawapo ya kuiadhibu CCM baada MAGAMBA kumuengua Mwl. Bunyaga aliyekua na nvuto wa hali ya juu kwa wananchi na kumpitisha yule mhuni Nneka Raphael Nneka.
Hukua na mvuto wowote ule, hata hoja za msingi bungeni hauna, kazi kufoka foka tu bungeni na kudandia hoja za wengine. Kasulu mjini umeleta maendeleo gani Machali? yaani umezidiwa na mbunge wa darasa la saba Zaituni Buyogera yeye kaweka Sheri Kasulu mjini (Mholeza Petrol Station).
Machali jipange, tena ujipange kweli kweli. Kasulu kuna vijana wa ACT na CHADEMA wako vizuri kwa kujenga hoja na sio kufokafoka kama ufanyavyo wewe. Nakuapia mwaka huu hautarudi bungeni.
Kwa mkoa wa kigoma tuna wabunge watatu tu vilaza; kuna Obama wa BUHIGWE, Buyogera wa Kasulu vijijini na wewe Machali wa Kasulu mjini.

Machali achana na Zitto, Zitto sio level yako. Kaa kimya tu, ukifanya hivyo tutakuheshim.

Mwaka huu sio rahis kwako kurudi bungeni. Kauli yangu hii izingatie, utaniambia, time will tell.

Narudia tena, achana na Zitto (RUYAGWA). Zitto is the best.
Watu wa KGM mna mbwembwe,so kuwekewa Sheli ndo maendeleo?tatizo lenu wana Kigoma mnahadaiwa sana,JK alisema ataigeuza KGM kuwa DUBAI,sijui ishakuwa?
 
Naona kazi ya kuua upinzani aliyoshindwa kuifanya akiwa CHADEMA, anaenda kuifanya ACT.
Mwisho wa Siku atakaye nufaika na Zitto si CHADEMA wala ACT, bali ni CCM.
 
ichi chama ngome kuu ni kigoma inaelekea
 
Si McheZo
 

Attachments

  • 1428728733313.jpg
    1428728733313.jpg
    24.9 KB · Views: 81
Hapo ndio mnapopotea step, wewe umeona kuna kiongozi amejihusisha na ujinga wa zzk? Majibizano ya JF hayahusiani na uendeshaji wa UKAWA

Huyo Moses Machali amejibia JF?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom