Master Legendary
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 579
- 887
Kwa majibu haya ningekuwa mimi ni Zitto ningejiuzulu kuwa nuru na Mwanga wa ACT.
Wakati mapambano haya yanaendelea CCM inaendelea kuwatumikia wananchi .
Hao wabunge wote umeo wataja,Wasipo hamia ACT basi mimi ntajiunga NCCR Mageuzi.Labda tu angesema hao jamaa zake anao wambia hatogombea NCCR Mageuzi atagombea chama kingine kipya labda ni UDP.Atuletee pia marejesho ya serikali za mitaa walipata viti vingapi na kwanini vimeshuka.Na huyo Kafulila yeye anajulikana anaelekea wapi mana Amesha waandaa wananchi wake wa tarafa ya Nguruka na Wilaya ya UVINZA kisaikolojia kwa chama anachohamia.Narudia tena Wasipo hamia ACT basi mimi ntahamia NCCR MAGEUZI.
Hajielewi zito
zito anazidi kuwa mzito kiakili
Sasa kelele za nini mkubwa umetishiwa tonge mdomoni? Hizi ndizo siasa ukiingia jikoni jiandae na joto lake. Mara Zitto alikuja jimboni KWANGU kuwapigia debe CHADEMA imeshakuwa kwake eeh.. haya mara - Nilipata Ubunge sio kwa sababu ya Zitto, lipi ni lipi kwani kuna uwezekano ulipata ubunge kwa sababu ya Zitto?..
Hizi ndizo siasa mkuu kaeni mkao wa kula. UKAWA wametangaza kuchukua majimbo 200 mbona CCM hawaweweseki japo imewatisha?
Kwa Machali:
Kauli aliyotoa ZZK siyo ngeni midomoni kwa wanasiasa
Ndio maana mwenzio David Kafulila amelijua hilo akaamua kupotezea sasa wewe unatoka mapovu sijui ya nini,
Sasa kama mtu mmoja anawatoa Jasho hivo mkija kushika nchi mtahimili mikiki ya upinzani kweli na hali ya kisiasa inakoelekea?
BTY : Time will tell huenda Zitto anajua anachokiongea.
Huyu Zitto kakengeuka kila siku kuuza sura kwenye mitandao huku watu wakiwa hawamwamini kabisa, Machali achana na vuvuzela fanya yako huyu Yuda achelewi kukuuza
Acheni upuuzi...amejibu kwa ukali kwa sababu msaliti mkuu analeta dharau na kujiona yeye ni kila kitu
Nyie endeleeeni kumwabudu huko Nuru na Taa yenu.....The everlasting
wewe kilaza yale mapanga yatakuwa yamekujeruhi akili...umeandika nini hapakwahio umebeba akili zitto!! tunakushuru kwa kuwa mfanyakaz wake