Moses Machali amtaka Zitto kuwa na nidhamu

Moses Machali amtaka Zitto kuwa na nidhamu

Status
Not open for further replies.
Zitto anasiasa za Kikabila na Kidini ambazo ni hatari sana kwa mustakabali wa taifa hili. Atakacho fanya kwa sasa ni kupandikiza chuki kwa wafuasi wake kua ACT ndiyo chama chao watu wa kigoma na vyama vingine vya upinzani haviwafai.

Kauli kama hizi ni kawaida sana kutolewa na akina Ruto ( the king of the rift) na Uhuru (moses wa wakikuyu). Ili ushinde Rift Valley unapaswa kumuunga mkono Ruto hata kama ukubaliani naye, ndio siasa zao zilivyojengeka namna hiyo, na ndio mana matatizo ya ukabila yanawatafuna sana wakenya.

Zitto please stop this kind of shit, acha kujenga chuki, uza sera zako, wapo watakao kuunga mkono na wapo watakao kupinga.

Wapi ameutangaza ukabila? Ushahidi tafadhali.
 
Mkuu usilazimike kabisa, mimi ningewataka hata Chadema mtumie vitisho hivyo, maana ndivyo siasa huchezwa. Na ukiogopa kweli utajikuta umeshindwa. Hizi habari za lelemama hadi mpirani ndio maana humpenda Morinho, yeye kata funua utajijua mwenyewe, baada ya mpira ukimshinda atakupa sifa zako lakini kabla lazima akutishe..

Huyu Mbunge kama sii kutaharuki nini kimempata? mbona kina Kafulila Kimyaaa wanakunywa juice tu mtaani.. halafu mnaumiza vichwa wakati Kigoma inaonekana hamkupata kitu au mnategemea hiyo UKAWA? mnadhani mtafika mbali na hii UKAWA. Chadema wote wanapinga Mahakama ya Kadhi na CUF waipendekeza ni swala la Muda tu Udini utachukua nafasi, itafika mahala tu mtakwaruzana hili ni swala la muda tu mawingu yameisha tanda..Jengeni sera Chadema ikubalike kwa wananchi sio kutegemea Katiba Mpya na daftari la kura kuwa kigezo, Nliwaambia na nitazidi kuwashauri japo sii lazima..

Haya ni maneno kuntu wasemavyo wamama zetu kule Tanga.
 
Huyu zitto kwanini si mnyenyekevu, malezi ya single p kisaikolojia inashida
 
Mh.machali zitto ni boya hana jipya.ngoja vihela vya escrow viishe halafu akalime kwao kigoma kaskazini
 
Amemchachafya nani?

Do you have evidence on that?

Mkuu....kazi aliyoianza ya kupambana na upinzani am assuring you...itamgharimu...watanzania wameweka matumaini yao kuelekea kuiondoa CCM ...Halafu anakuja mtu anawarudisha nyuma

Umeona ya Songea leo?,watanzania hao hao unaosema ndio waliotoa sapoti kwa ACT songea leo,kazi imeanza endelea kujiaminisha kuwa watanzania wote ni Chadema
 
Kwani ni lini uliacha kumtetea Ayatollah? subirien baada ya October mtakimbia wote humu wasaliti nyie

Umeona kilichoendelea Songea leo?? ule ndo mkutano wa kwanza sasa sina haja ya kukutaka u-imagine huko mbele itakuwaje,Ndo mana nikasema kazi imeanza ila sio mbaya endelea kuamini kuwa watanzania wote ni chadema sisi tunapiga kazi
 
Zitto ni kirusi kibaya ktk mustakali wa taifa.
CCM wanapanga ila hawajui kitakachotokea kwa sababu hata wao na vizazi vyao hawatapona
 
Last edited by a moderator:
Huyo dogo ni kashachanganyikiwa,msameheni bur,mwenzenu anawaza ajarudi vipi bungeni.
 
Kitu kikubwa alichokikosa Zito maishani mwake ni HEKIMA.
 
Machali wewe ni mbunge wa jimbo langu, lakini ukweli ni kwamba uwezo wako ni mdogo sana, na wananchi wa Kasulu mjini tulikupa kura kama njia mojawapo ya kuiadhibu CCM baada MAGAMBA kumuengua Mwl. Bunyaga aliyekua na nvuto wa hali ya juu kwa wananchi na kumpitisha yule mhuni Nneka Raphael Nneka.
Hukua na mvuto wowote ule, hata hoja za msingi bungeni hauna, kazi kufoka foka tu bungeni na kudandia hoja za wengine. Kasulu mjini umeleta maendeleo gani Machali? yaani umezidiwa na mbunge wa darasa la saba Zaituni Buyogera yeye kaweka Sheri Kasulu mjini (Mholeza Petrol Station).
Machali jipange, tena ujipange kweli kweli. Kasulu kuna vijana wa ACT na CHADEMA wako vizuri kwa kujenga hoja na sio kufokafoka kama ufanyavyo wewe. Nakuapia mwaka huu hautarudi bungeni.
Kwa mkoa wa kigoma tuna wabunge watatu tu vilaza; kuna Obama wa BUHIGWE, Buyogera wa Kasulu vijijini na wewe Machali wa Kasulu mjini.

Machali achana na Zitto, Zitto sio level yako. Kaa kimya tu, ukifanya hivyo tutakuheshim.

Mwaka huu sio rahis kwako kurudi bungeni. Kauli yangu hii izingatie, utaniambia, time will tell.

Narudia tena, achana na Zitto (RUYAGWA). Zitto is the best.
 
ni kweli machali sio level ya zitto. Tangu lini mbembe zitto akawa na unasaba na muha(machali)?!! Hata vinasaba vyao vinaonesha hata kwa kuangalia tu.....kuna moja inasoma kongo nyingine tz.sasa kazi kwako kuchagua.
NB:uchaguapo kumbuka kuna operation kimbunga.....
 
Kosa lilelile...bila shaka Zitto kweli maarufu kushinda wao ndo maana wanajikuta wanapoteza mwelekeo na kuishia kumjadili tu Zitto
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom