Moses Machali amtaka Zitto kuwa na nidhamu

Moses Machali amtaka Zitto kuwa na nidhamu

Status
Not open for further replies.
Sasa kelele za nini mkubwa umetishiwa tonge mdomoni? Hizi ndizo siasa ukiingia jikoni jiandae na joto lake. Mara Zitto alikuja jimboni KWANGU kuwapigia debe CHADEMA imeshakuwa kwake eeh.. haya mara - Nilipata Ubunge sio kwa sababu ya Zitto, lipi ni lipi kwani kuna uwezekano ulipata ubunge kwa sababu ya Zitto?..

Hizi ndizo siasa mkuu kaeni mkao wa kula. UKAWA wametangaza kuchukua majimbo 200 mbona CCM hawaweweseki japo imewatisha?
 
Alisema akili yake imechoka, kumbe haipo kabisa akapimwe kuthibitisha hilo
 
Safi sana mhe Machali, mueleze ukweli huyo Zitto kwani yeye bila chadema ni sawa na mtumbwi bila makasia,si lolote si chochote kwani hata huko kigoma baadhi ya wananchi wanaufahamu kinagaubaga usaliti wake kwa chadema! Mwezi wa kumi sio mbali tutauona huo ukweli wa mambo kama anadhani ni game rahisi!
 
Ayatollah Zitto ni mtu anayependa sifa na kujiona yeye ndio anajua kila kitu. Asubiri aibu mwaka huu kwenye uchaguzi.
 
Sasa kelele za nini mkubwa umetishiwa tonge mdomoni? Hizi ndizo siasa ukiingia jikoni jiandae na joto lake. Mara Zitto alikuja jimboni KWANGU kuwapigia debe CHADEMA imeshakuwa kwake eeh.. haya mara sio Nilipata Ubunge sio kwa sababu ya Zitto, lipi ni lipi kwani kuna uwezekano ulipata ubunge kwa sababu ya Zitto?..

Hizi ndizo siasa mkuu kaeni mkao wa kula. UKAWA wametangaza kuchukua majimbo 200 mbona CCM hawaweweseki japo imewatisha?

Tunalazimika kukuheshimu, ila kama una akili kauli ya ZZK ni ya kipuuzi lazima ilaniwe, kutishia wabunge kama kwamba anamiliki Kigoma sio sahihi na kauli hii ataijutia baada ya 2015
 
Sio peke yake Machali

Kwa upande wa kafulila alisema "Kauli ya Zito ni ya kawaida kutolewa na wanasiasa.Leo hii hakuna chama kitakachojitangaza kuwa kitashindwa uchaguzi.Ni sawa na anayeuza dawa hata kama haimponyi yeye atainadi tu"

Kafulila ambaye kwa muda mrefu amekuwa na urafiki na zito alisema ushindi wake katika uchaguzi mkuu hautegemei uwapo wa act "Nimeshinda ubunge nikiwa NCCR na nitaendelea kushinda nikiwa na chama hiki.Wanaonipigia kura ni wananchi na ushindi uko palepale" alisema

Obama ambaye ni mwenyekiti wa wabunge wa kigoma alisema kauli ya Zito inalenga kujipatia "ujiko" kwa wananchi

Source ;Mwananchi Tar 10,April 2015 Ukurasa wa 7

Hao wabunge wote umeo wataja,Wasipo hamia ACT basi mimi ntajiunga NCCR Mageuzi.Labda tu angesema hao jamaa zake anao wambia hatogombea NCCR Mageuzi atagombea chama kingine kipya labda ni UDP.Atuletee pia marejesho ya serikali za mitaa walipata viti vingapi na kwanini vimeshuka.Na huyo Kafulila yeye anajulikana anaelekea wapi mana Amesha waandaa wananchi wake wa tarafa ya Nguruka na Wilaya ya UVINZA kisaikolojia kwa chama anachohamia.Narudia tena Wasipo hamia ACT basi mimi ntahamia NCCR MAGEUZI.
 
Sasa kelele za nini mkubwa umetishiwa tonge mdomoni? Hizi ndizo siasa ukiingia jikoni jiandae na joto lake. Mara Zitto alikuja jimboni KWANGU kuwapigia debe CHADEMA imeshakuwa kwake eeh.. haya mara - Nilipata Ubunge sio kwa sababu ya Zitto, lipi ni lipi kwani kuna uwezekano ulipata ubunge kwa sababu ya Zitto?..

Hizi ndizo siasa mkuu kaeni mkao wa kula. UKAWA wametangaza kuchukua majimbo 200 mbona CCM hawaweweseki japo imewatisha?

Kelele au anaelezwa ukweli huyo mpuuzi? kama alishindwa kupata madiwani wengi kwenye jimbo lake mwenyewe atawezaje kupata wabunge hats 2 tu? nashangaa hats nyie vibaraka wake kuwa watumwa kiasi hicho na kujitoa ufahamu.Nashawishika kusema mnasumbuliwa na njaa!
 
Zitto anatapatapa mwisho wazito 2015 umefika . Unafiki wa zitto ni zaidi ya uchawi.
 
UKAWA wengi vichwa maji wamesahau kuhusu CCM sasa wana pambana na mtu makini Zitto kabwe..

CCM itatawala milele..

We ndio utatawaliwa na ccm
Lakini kwa Tanzania hicho chama mwisho wao ni October mwaka huu
 
sasa ni UKAWA vs ACT, afu mwisho wa siku uchaguzi CCM inatoka kidedea, historia inajirudia...

Kwa hiyo hawa vibaraka was ccm waachwe tu wapotoshe watz wasiojielewa? hakuna tofauti ya shetani na zimwi
 
Zitto anaumwa ugonjwa mbaya sana kwa sasa... Akijipeleka hospitali yoyote ndani ya mwaka huu ni sharti afanyiwe operesheni ya kichwa!!
 
Hapa kuna swali la kujiuliza. Mbona Chadema walikua wanamtuhumu Zitto kuwa Aliwafanyia kampeini wabunge wa NCCR badala ya CHADEMA???

Hapa Machali mwenyewe kadai Zitto aliwanadi Wabunge wa Chadema na hajawai kumfanyia kampeini Machali!!!

Ina maana Chadema walikua wanamtuhumu Zitto Uongo?

Kweli nimeamini Tuhuma nyingi dhidi ya Zitto ni za uongo.
 
Ayatollah kapewa za uso sababu amozoea vya kunyonga, hapo tu alipo anapumulia mashine kisiasa haelewi mpaka sasa akagombee wapi sababu kuanzia kwao wameshamkataa.
 
Zitto Kabwe, abakishe na maneno ya kesho kwa sababu aliwahi kujinadi anaenda kufundisha chuo na kuachana na siasa leo yupo kupambana na wabunge wa upinzani.

kawatisha Mdee, Mnyika sasa anaenda kuwatikisa wabunge wa upinzani Kigoma. najua kule ambaye wataelewana Tumbili

Chuo gani huyo atafundisha na GPA yake ya 3.5 alafu anajiona kichwa kumbe mpuuz tu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom