Freeland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 14,481
- 10,233
Nawe umepanic Bro calm down ,ndio mana nauliza mtu mmoja anawachachafya hivi mkishika nchi mtaiweza mikiki ya upinzani as a whole,na ndio kwanza ZZK ameanza kazi,expect the worst
Amemchachafya nani?
Do you have evidence on that?
Mkuu....kazi aliyoianza ya kupambana na upinzani am assuring you...itamgharimu...watanzania wameweka matumaini yao kuelekea kuiondoa CCM ...Halafu anakuja mtu anawarudisha nyuma