Nge6
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 286
- 234
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mirembe Itawahusu hawa alf wako bizee daaah
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mirembe Itawahusu hawa alf wako bizee daaah
Kimaadili picha hizo sio vizuri kuziweka maana zitamzalilisha mtu na ndugu zakePicha?
Kwa maadili haipendezi kuweka picha kama hizo, maana huenda sio akili zao, pindi watakapo rudia ufahamu unaweza kuwaletea tatizo la msongo wa mawazoBila picha ni umbea kama umbea mwingine
Mmmhhh polisi wamewavalisha nguo na kuwaelekeza warudi kwao?
Kwanini wasingewachukua wakawafanya uchunguzi wajue chanzo cha wao kutembea uchi alfajiri.
Kosa kimaadili.Kwanini wahojiwe??-- kwani mtu kutembea bila nguo ni kosa kisheria???---
Are you seriousKwanini wahojiwe??-- kwani mtu kutembea bila nguo ni kosa kisheria???---
Kuna mdau mama debora kaiweka picha bubasharaNimezungukaaaa nilijua ntakutana na picha ila wapiiiiiii...............kwahiyo picha imezunguka katika mitandao ya kijamii lakini mtoa mada we hujatuwekea hapa ................hatukuamini
Hao wafanyabiasharaMimi hapa kitaa imekuwa ni kawaida lakini Wanawake ndio huwa nawaona
Ila mganga wao noma sana, au hawakumlipa kama walivyo kubaliana ko kafanya yake kulipiza maana sio kwa kuzalilishana hukoMasharti ya mganga
Bila picha tutaamini vipi ukwel wa hii habari?
Acha chuki binafsi kwa imani za wenzako. Kila dini au dhehebu wakiamua kuchambana mabaya yao naamini hata wewe utaacha kwenda kusali kwenye hiyo dini/dhehebu lako unaloamini ndiyo safi. By the way nijuavyo mimi msingi mkuu wa wakristo ni biblia ambayo inatambua uwepo Mungu Baba, mwana na roho mtakatifu tu. Dini au dhehebu lolote linalokiri uwepo wa Mungu katika nafsi tatu na kwamba kristo ndiyo mwokozi hao ni Wakristo. Hayo makandokando mengine kila kikundi/ dhehebu linapuyanga ya kwake na mengi tu hayapo hata kwenye biblia mfano ibada za wafu (kuombea marehemu) n.k.Sijawahi amini sabato ni dini,yaani ni full wanafiki hamna Mungu mule...haya ni maoni yangu binafsi
Picha?