Morogoro: Watu saba wakutwa wakitembea utupu

2737544_JamiiForums1473104950.jpg
 
Nyie ndio mmewaingilia tu, wao walikua peponi na nyuchi zao wanakula bata 👍
 
Waislam wanasema hawa watu waachwe ndio wanaosababisha mvua zinyeshe kona zote za nchi hii

Mimi naona wana mantiki hapo
 
Nikiwa nasoma Mbeya na kina Myco, na Mwambene tulipanga kwenye nyumba ya mtu tuliyempa jina la Limfukuche.

Kila siku saa nane hadi tisa yeye, mke wake na watoto wake wote, walikuwa wakitembea uchi huku wakiongea lugha isiyoeleweka.

Hawa watu walikuwa ni waumini waaminifu wa dini ya sabato, walikuwa pumbavu kabisa, eti walitaka ikifika jumamosi wazime umeme, tusipige muziki
Mkuu kipindi nasoma Meta Secondary, Kuna Masela wangu walikuwa wanaishi mtaa wa Mwanguku(Old forest), sasa jamaa wakawa wananiambia kuwa hawalali kuna kabibi kanawachawia sana pale wanapoishi, siku nikawa nimeenda kupiga msuli pande ile, ilikuwa kama mida ya saa saba mchana, sababu ndani joto nikawa nasomea kwa nje, na kale kabibi kalikuwa nearby kamelala kwenye mkeka, ile naandika visummary vyangu, nikawa nasikia usingizi punde si punde nikapitiwa na usingizi, nilipigwa roba za kufa mtu, kuja kushtuka naona kale kabibi kananiangalia kwa hofu, alafu kakakunja mkeka kakaingia ndani...hata Erick na Michael sikuwaaga na sikurudi tena mitaa ile
 
Hako kabibi katakuwa kanasali kama sio kwa Mwakiswalele, basi Ngemela au kwa Bhasisimikisi
 
Back
Top Bottom