Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,671
- 8,237
Wakuu, huko Morogoro wakwetu adv. Msando kaanza na simanzi, eneo la Oilcom ajari mbaya imetokea Coaster inatokea Dar ikiwa na abiria na lori la mizigo zimegongana uso kwa uso kwenye Coaster.
=====
Watu watano wamepoteza maisha na wengine 24 kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha basi dogo la abiria Aina ya Coaster na Lori la mizigo katika eneo la Oil Com nanenane mjini Morogoro.
=====
Watu watano wamepoteza maisha na wengine 24 kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha basi dogo la abiria Aina ya Coaster na Lori la mizigo katika eneo la Oil Com nanenane mjini Morogoro.