Papaa Mobimba
JF-Expert Member
- Jan 27, 2018
- 754
- 3,097
Mwanamke aliyetambulika kwa jina moja la Fatuma anayekadiliwa kuwa na umri wa miaka 35 hadi 39 na dereva wa bajaji ambaye naye jina lake halijafahamika wamefariki dunia leo baada bajaji waliokuwa wanasafiria kugonga treni eneo la Modeko Kata ya Mazimbu mkoani Morogoro.