Morogoro: Mwanamke, dereva wafariki dunia baada ya bajaji kugonga treni

Papaa Mobimba

JF-Expert Member
Jan 27, 2018
746
3,055
Mwanamke aliyetambulika kwa jina moja la Fatuma anayekadiliwa kuwa na umri wa miaka 35 hadi 39 na dereva wa bajaji ambaye naye jina lake halijafahamika wamefariki dunia leo baada bajaji waliokuwa wanasafiria kugonga treni eneo la Modeko Kata ya Mazimbu mkoani Morogoro.

Bajaj.jpg
 
Hiv tren inakuaga na sumaku au n nn? Kuna bus bunda express iligongwa singidani pale dereva anasema aliona gari inakua nzito ghafla chuma ikafika watu wa siti ya nyuma wote walifia palepale.
 
Hiv tren inakuaga na sumaku au n nn? Kuna bus bunda express iligongwa singidani pale dereva anasema aliona gari inakua nzito ghafla chuma ikafika watu wa siti ya nyuma wote walifia palepale.
Haiwi na sumaku bali kuna nguvu ya uvutano inapotembea tena kwenye physics ya Roger Muncaster kaelezea hili suala,
Pole kwa wafiwa
 
Back
Top Bottom