Mvua zinazoendelea kunyesha zasababisha hasara kubwa kwa wafanyabiashara Morogoro Mjini

Norshad

JF-Expert Member
Jun 3, 2013
5,128
12,216
Habari JF,

Usiku wa kuamkia Juzi na Jana zimenyesha Mvua kubwa Mkoani Morogoro na kusababisha Maafa kadhaa ikiwemo vifo pamoja na hasara kubwa kwa Wafanyabiasha wa Maduka waliopo Maeneo ya Katikati ya Mji.

Mvua zilizoanza kunyesha jana usiku zimesababisha Maji kuingia madukani, na kwenye Makazi ya watu na kuharibu vitu vyenye Thamani ya Mamilioni na pia Asubuhi hii baadhi ya Barabara za Mjini hapa zimejaa Matope na Magogo yaliyoshushwa toka Milimani.
 
Back
Top Bottom