Mohamed Said ana siasa za kulialia

Mohamed Said ana siasa za kulialia

Nilikuwa nasikiliza kipindi cha maoni kinachorushwa na DW, ndipo nikamsikia huyu mtu anaitwa Mohamed Said akitoa maoni yake kuhusu miaka 60 ya uhuru, ingawa kabla nimewahi kusoma makala zake kadhaa, sikufikiri kwamba kwa ukubwa wa changamoto tulizonazo leo pamoja na mabadiliko makubwa ya kielimu na kimfumo bado atakuwa na mawazo kwamba waisilam wanabaguliwa.

Ninapata shida kumwelewa kwa sababu kwa taifa letu lilipofikia ningeweza kusema kama ni ubaguzi unaopaswa kupambana nao ni ule unaopendelea chama tawala.

Ubaguzi anaosema waisilam wanabaguliwa ni wa kufikirika sana. Sijui kama huyu ndugu amefanya utafiti kujua wakristo na waisilam wanaosota na kubaguliwa kwa sababu wao sio CCM!!.

Akiwa anasema hayo wapo viongozi wa kiisilam wengi tu wanaoshiriki uharamia wa kuwabagua ndugu zao ilimradi tu sio CCM.

Nashauri aache mambo ya kukaririshwa kwamba waisilam wanaonewa hizo hoja zilishapitwa na wakati. Isitosha zinafanya waisilam waonekane wanyonge na watu wa kuhurumiwahurumiwa tu.
In kweli mohd Saudi analialia. Lkn tumshukuru anaelialia. Kulia lia ni asili ya makundi mwengi ya watz ya wastaarabu.

CHADEMA kwa kipindi cha miaka 6 sasa wanalialia.

Swali ni je ukiwa CHADEMA hubaguliwi?!?!?

Tuungane Waislam na CHADEMA Dhidi ya ccm. Watu wanashindwa kuelewa kuwa ndani ya ccm kuna wawakilishi was makundi na mawakala. Waislam ndani ya ccm na bakwata yao so wawakilishi was waislam Bali ni mawakala. Walio tayari kuwauza waislam wenzao.
 
Van...
Umeniuliza maswali na imekupa majibu.
Bahati mbaya umefungua hoja nyingine ya ''kufanikiwa'' na ''mwingiliano wa watu.''

Si kitu naamini umesoma na umeelewa.
Umenipa video ntaiplay nikiwa mazingira mazuri, lakini majibu uliyonipa yanarudi pale pale Kwenye maswali yangu.
Kiufupi hujanijibu maswali yangu yote na ambayo umejibu hoja hazijanishika bado. mfano Unadhani unaungwa mkono kwa kuwa Publishers wameprint kazi zako au kwa kuwa huwa unaalikwa kuzungumzia uhuru.
Na huoni kuwa unaitwa sababu ya harakati za uhuru, kuwakumbusha watanzania na Dunia yaliyokwisha tokea na si "hoja" yako ya waislam kubaguliwa.

sikutaka kukujibu sababu sijaplay video nikiziplay ndio nitajua kuwa maswali yangu yamejibiwa yote au lah, ndio maana nikalike kuonesha nimeona.

Hii uliyoniquote sasa nilikuwa namjibu mtu mwingine aliyesema lengo lako ni kuwagawanya watu, nikamjibu kwa kusema "kama ni hivyo hatofanikiwa" kuonesha kuwa sina hakika kama lengo lako ni hilo.

Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
 
Nadhani hujumuekewa vizuri aliongelea kuhusu wapigania uhuru wa mwanzoni wa Taifa hili kutoandikwa kwenye historia ya Nchi .Lakini pia huyu Mzee sometimes ni mbaguzi Sana wa kidini hafai kwenye jamii ya watu waloelimika na kustalabika .Anapenda Sana dini yake kuliko uhalisia ulivo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nina uhakika huyu mzee ni mbaguzi sana wa kidini
 
Nilikuwa nasikiliza kipindi cha maoni kinachorushwa na DW, ndipo nikamsikia huyu mtu anaitwa Mohamed Said akitoa maoni yake kuhusu miaka 60 ya uhuru, ingawa kabla nimewahi kusoma makala zake kadhaa, sikufikiri kwamba kwa ukubwa wa changamoto tulizonazo leo pamoja na mabadiliko makubwa ya kielimu na kimfumo bado atakuwa na mawazo kwamba waisilam wanabaguliwa.

Ninapata shida kumwelewa kwa sababu kwa taifa letu lilipofikia ningeweza kusema kama ni ubaguzi unaopaswa kupambana nao ni ule unaopendelea chama tawala.

Ubaguzi anaosema waisilam wanabaguliwa ni wa kufikirika sana. Sijui kama huyu ndugu amefanya utafiti kujua wakristo na waisilam wanaosota na kubaguliwa kwa sababu wao sio CCM!!.

Akiwa anasema hayo wapo viongozi wa kiisilam wengi tu wanaoshiriki uharamia wa kuwabagua ndugu zao ilimradi tu sio CCM.

Nashauri aache mambo ya kukaririshwa kwamba waisilam wanaonewa hizo hoja zilishapitwa na wakati. Isitosha zinafanya waisilam waonekane wanyonge na watu wa kuhurumiwahurumiwa tu.
Hana akili
 
Ndio lengo lake hasa ! Jiulize WHY NOW ?!! HUONI HII NI TIMING ?
Mzee nakuwekea hapa maandishi yangu na miaka nikiandika si kama nimeanza kuandika leo hakuna chambilecho ''timing'':

PUBLICATIONS/RESEARCH PAPERS/ARTICLES

The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 –1968 The Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press London, 1998 translated into Kiswahili as Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968 Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002.

The Torch on Kilimanjaro, Oxford University Press, Nairobi, 2006

Contributing author for an African anthology: The Mermaid of Msambweni and Other Stories, Oxford University Press 2007, Nairobi.

Contributing author Dictionary of African Biography (DAB), Oxford University Press 2011, New York.

Uamuzi wa Busara, Abantu Publications 2008, Dar es Salaam.

Watu Mashuhuri Katika Uhuru wa Tanganyika No. 1, Ibn Hazm Media Centre, 2018, Dar es Salaam.

Watu Mashuhuri Katika Uhuru wa Tanganyika No.2, Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaam

Dar es Salaam na Wazalendo Wake Mashujaa Katika Kupigani Uhuru wa Tanganyika Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaaam

Watu Mashuhuri Katika Kuulingania Uislam Tanzania, Sheikh Ilunga, Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaam

Dola, Kanisa na Tatizo la Udini Tanzania, Ibn Hazm Media Centre, 2018, Dar es Salaam

The School Trip to Zanzibar, Africa Proper Education Network 2020, Dar es Salaam

Rajabu Ibrahim Kirama, Jemadari wa Vita Kuwa Jemadari wa Uislam, Readit, 2020, Dar es Salaam

In Praise of Ancestors (1987) Africa Events (London).

Abdulwahid Sykes: Founder of Political Movement (1988) Africa Events (London).

Islam and Politics in Tanzania (1989) Al Haq International (Karachi)

The Plight of Tanzanian Muslim (1993) Change (Dar es Salaam).

Tanzania - The "Secular" Unsecular State (1995) Change (Dar es Salaam).

The Question of Muslim Stagnation in Education in Tanzania - A Muslim Riddle (Paper presented at the Conference of the Global World of the Swahili Intercultural Dialogue on the Indian Ocean Zanzibar, February 20 - 23, 2003).

Islamic Education and Intellectualism in Eastern Africa ‘Themes from the Pulpit in Tanganyika (Tanzania Mainland) 1800 – 2000’ (Paper presented at International Symposium on Islamic Civilisation in Eastern Africa Kampala, Uganda organised by the Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA), Istanbul and the Islamic University in Uganda, Mbale December 15th – 17th 2003).

Sheikh Hassan bin Ameir - The Moving Spirit of Muslim Emancipation in Tanganyika (1950 – 1968) (Paper presented at Youth Camp Organised by Zanzibar University, World Assembly of Muslim Youth (WAMY) and Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) 27th February – 4th March 2004).

Islamic Movement and the Christian Lobby in Tanzania - the Experience of the late Prof. Kighoma Ali Malima (1938 – 1995) (Paper Presented to Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) Sokoine University of Agriculture (SUA) Morogoro 11th April 2004).

Terrorism in East Africa the Tanzanian Experience (Paper Presented at the Conference on Islam, Terrorism and African Development University of Ibadan, Nigeria 8th - 10th February 2006).

Al Marhum Sheikh Kassim bin Juma bin Khamis (1940 – 1994) and the Pork Riots of 1993. (Paper Presented at the Regional Conference on Islam in Eastern Africa: Islam Encounter with the Challenges of the 21st Century 1st - 3rd August 2006, Kenyatta University, Nairobi.

Muslim Bible Scholars of Tanzania – The Legacy of Sheikh Ahmed Deedat (1918 – 2005) Paper Presented at the International Symposium on Islamic Civilisation in Southern Africa Organised by The Organisation of Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA) The National AWQAF Foundation of South Africa (AWQAF SA 1 – 3 September 2006 University of Johannesburg.

Tanzania: A Nation Without Heroes Seminar Organised by IFRA French Institute for Research in Africa and BIEA British Institute in East Africa 23rd and 24th September 2013 at IFRA Nairobi.

Awards: Several Awards

Visiting Scholar: (2011)

University of Iowa, Iowa City, USA

Northwestern University, Chicago, Illinois, USA

Zentrum Moderner Orient (ZMO), Berlin.

OTHER COUNTRIES VISITED

Zambia, Ethiopia, Great Britain, Swaziland, Msumbiji, Zimbabwe, Zambia, Sudan, Egypt, Saudi Arabia, United Arab Emirates, Oman, Yemen, Uganda, Switzerland, Iran, France, Netherlands, Turkey and Abu Dhabi.
 
Kwenye ufafanuzi lazima atamtaja Sykes
Dira...
Hakuna mtafiti anaeweza kuandika historia ya TANU kuanzia African Association, TAA, TANU na uhuru wa Tanganyika au historia ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere asitaje ukoo wa Sykes.

Chuo Cha CCM Kivukoni walidhani kama wanaweza kuandika historia ya TANU kwa kumkwepa Abdul Sykes.

Balaa lake likaja kuwa kubwa sana.
Ndiyo tuko hapa leo tunaisoma historia ya TANU upya.

Nakuwekea link hapo chini ya makala niliyoandika miaka mingi iliyopita baada ya mtu kughadhibishwa na mimi kila ninapoandika historia ya AA, TAA, TANU, uhuru wa Tanganyika na Mwalimu Nyerere lazima ukoo wa Sykes niutaje.

Ikutoshe tu kuwa Kleist Sykes yuko katika Dictionary of African Biography (DAB), Oxford University Press, 2011.

Nilialikwa Northwestern University, Chicago kumzungumza Abdul Sykes.
Hiki chuo ndicho kinaongoza ulimwenguni katika African History.

Kitabu cha Abdul Sykes kimebadili historia nzima ya Tanganyika.

1639536940693.png
1639536982321.png
 
Makamu wa rais Zanzibar wa kwanza na wapili wote waislamu.

Muislamu yupi anaeonewa mbona ni yeye tu anapiga kelele wengine wako bize na harakati za uchumi

Kwa nini waonewe ,wamefanya nini hadi waonewe!?

Isije kuwa anapiga kampeni za kuwa victimize waislamu waonekane wanaonewa

Je, waislamu walimtuma awatetee kuwa wanaonewa.!?
Hesabu wakuu wa wilaya/mkoa,wanazingua sekondari,vyuo,huwa haizidi 15%...
 
Back
Top Bottom