Mimi huwa nikipata 'dharura' naenda kwa masheikh kupata ruqiyaa.Mbona bimkubwako alikupata kwa mganga wa kienyeji
Sawa kabisa kama ilivyo kwaNi kweli WaIslam wanabaguliwa sana ndio maana.
Rais wa JMT ni mgalatia
Waziri Mkuu ni Mgalatia
Rais wa Zanzibar ni Mgalatia
Jaji Mkuu ni Mgalatia
Jaji Kiongozi Mgalatia
2012 walivyoambiwa sensa ihesabie kwa dini kanisa lilipinga sana kwa nguvu zote,hii nchi wakristo awakwepeki kwenye mfumo kwasababu ya uwingi wao.
Bahati mbaya au nzuri waliwekwa gerezan na muislam mwenzao. Sasa sijui ndio kusema hampendani ama?
Mkuu wa deep state naye pia mgalitia!Ni kweli WaIslam wanabaguliwa sana ndio maana.
Rais wa JMT ni mgalatia
Waziri Mkuu ni Mgalatia
Rais wa Zanzibar ni Mgalatia
Jaji Mkuu ni Mgalatia
Jaji Kiongozi Mgalatia
Ndo shida ya kutembea mkoa mmoja hii.2012 walivyoambiwa sensa ihesabie kwa dini kanisa lilipinga sana kwa nguvu zote,
Sasa ili tuwekane sawa tufanye kampeni kwa pamoja mwakani tuhesabiane kwa dini ili tuone nani wengi
Nani anaweza kuthibitisha ukristo/ukristu ni kitu halisi?Nani anaweza kuthibitisha kwamba uislam ni kitu halisi?
Punguza makasiriko pata burudani kwnaza.Sawa kabisa kama ilivyo kwa
Spika wa bunge ni muislam
Naibu wake ni muislam
Mkuu wa majeshi muislam
Mkuu wa polisi muislam
90% mawaziri waislam
90% wakuu wa mikoa waislam
Hi Job Ndugai ni Muisilamu?sio Kafiri yule?Spika wa bunge ni muislam
On point !!Nilikuwa nasikiliza kipindi cha maoni kinachorushwa na DW, ndipo nikamsikia huyu mtu anaitwa Mohamed Said akitoa maoni yake kuhusu miaka 60 ya uhuru, ingawa kabla nimewahi kusoma makala zake kadhaa, sikufikiri kwamba kwa ukubwa wa changamoto tulizonazo leo pamoja na mabadiliko makubwa ya kielimu na kimfumo bado atakuwa na mawazo kwamba waisilam wanabaguliwa.
Ninapata shida kumwelewa kwa sababu kwa taifa letu lilipofikia ningeweza kusema kama ni ubaguzi unaopaswa kupambana nao ni ule unaopendelea chama tawala.
Ubaguzi anaosema waisilam wanabaguliwa ni wa kufikirika sana. Sijui kama huyu ndugu amefanya utafiti kujua wakristo na waisilam wanaosota na kubaguliwa kwa sababu wao sio CCM!!.
Akiwa anasema hayo wapo viongozi wa kiisilam wengi tu wanaoshiriki uharamia wa kuwabagua ndugu zao ilimradi tu sio CCM.
Nashauri aache mambo ya kukaririshwa kwamba waisilam wanaonewa hizo hoja zilishapitwa na wakati. Isitosha zinafanya waisilam waonekane wanyonge na watu wa kuhurumiwahurumiwa tu.
Hata wakiwa mawaziri wote ni waislam je wanatusaidia nini sisi waislam tulioko mitaani ? Au hata wakiwa mawaziri wote ni wakristo wanawasaidia nini wakristo wenzao waliopo mitaani ? Hii dhana ilishapitwa na wakati, Mimi naamini hawatusaidii chochote kutokana na dini zao,Punguza makasiriko pata burudani kwnaza.
View attachment 2044075
Rubbish!!!2012 walivyoambiwa sensa ihesabie kwa dini kanisa lilipinga sana kwa nguvu zote,
Sasa ili tuwekane sawa tufanye kampeni kwa pamoja mwakani tuhesabiane kwa dini ili tuone nani wengi
Phy...Nilikuwa nasikiliza kipindi cha maoni kinachorushwa na DW, ndipo nikamsikia huyu mtu anaitwa Mohamed Said akitoa maoni yake kuhusu miaka 60 ya uhuru, ingawa kabla nimewahi kusoma makala zake kadhaa, sikufikiri kwamba kwa ukubwa wa changamoto tulizonazo leo pamoja na mabadiliko makubwa ya kielimu na kimfumo bado atakuwa na mawazo kwamba waisilam wanabaguliwa.