Mohamed Said ana siasa za kulialia

Mohamed Said ana siasa za kulialia

Ni kweli WaIslam wanabaguliwa sana ndio maana.

Rais wa JMT ni mgalatia
Waziri Mkuu ni Mgalatia
Rais wa Zanzibar ni Mgalatia
Jaji Mkuu ni Mgalatia
Jaji Kiongozi Mgalatia
Aiseee kweli kabisa. Wa imani ile wanabaguliwa sana inavyosemekana.
 
tumsubiri mzee wetu Mohamed Said aje atupe ufafanuzi huenda ana ushahidi.
Daudi...
Nakushukuru kwa kunikaribisha nitoe ushahidi wa dhulma.
Kama kuandika hapa post itakuwa ndefu kupita kiasi.

Nimeandika kitabu, ''The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924 - 1968) The Untold Story of the Muslim Struggle Against British Colonialism in Tanganyika,'' Minerva Press London, 1998.

Part One na Part Two nimeeleza mchango wa Waislam katika kupigania uhuru wa Tanganyika historia ambayo hakuna aliyepata kuiandika ndiyo sababu nikaweka, ''The Untold Story.''

Part Three anuani yake ni: ''Conspiracy Against Islam.''
Wasomaji wa kitabu hiki wanasema hapa ndipo kilipo kitabu chenyewe.

Kitabu hiki kipo kwa Kiswahili pia ''Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes...'' Phoenix Publishers, Nairobi (2002).

Anaetaka ushahidi kuwa lipo tatizo asome kitabu hiki.

Kitakachomdhihirikia mara moja na atajiuliza, ''Mbona historia hii ya uhuru haya majina ninayosoma sijapata kuyasikia katika historia ya TANU wala historia ya uhuru wa Tanganyika?''

Sasa atakapomaliza kusoma Part Three atakuwa kaelewa mbinu zote zilizofanywa dhidi ya Waislam na wahusika atawasoma kwa majina yao.

Na katika wahusika wa njama hizo wapo Waislam.

Siandiki kufanya mzaha wala siandiki kuleta fitna katika jamii na ndiyo unaona niko wazi na jina langu ndilo hili.

Sijajificha wala situkani au kukejeli yeyote.
Nimesimama kwenye ukweli wa kile nilichotafiti na kuandika.

Ukweli huu katika masula mengi ya nchi yetu ndiyo umeniweka hapa nilipo kuwa vyombo vya habari vikubwa ndani na nje ya mipaka yetu hawasiti kunihoji wakitaka kujua jambo lolote kuhusu nchi yetu.

Hakuna chombo kikubwa duniani ambacho sijafanyanacho mahojiano kuanzia, BBC, VoA, DW, SABC, Aljazeera, Sauti ya Tehran Iran, Sauti ya Saudi Arabia.

Mbali na hayo nimealikwa kuzungumza katika vyuo kadhaa Afrika, Ulaya na Marekani.
Ikiwa kuna mtu anataka tufanya mjadala namkaribisha kwa sharti moja tu.

Tutumie lugha ya kistaarabu tuheshimiane ili wasomaji wanufaike na fikra zetu.
Hii ndiyo njia bora ya kutafuta utatuzi wa tatizo hili la ubuguzi.
 
Daudi...
Nakushuuru kwa kunikaribisha nitoe ushahidi wa dhulma.

Hakuna chombo kikubwa duniani ambacho sijafanyanacho mahojiano kuanzia, BBC, DW, SABC, Aljazeera, Sauti ya Tehran Iran, Sauti ya Saudi Arabia.

Mzee wetu kuna watu wamekuuliza hoja zako ni hai kwa watanzania wa sasa?
Ni watanzania wangapi wa sasa wanajali kuhusu Historia ya Uhuru?
Ni watanzania wangapi wanajali kuhusu Historia ya TANU?
Huo ubaguzi kila ukiulizwa, unarudi nyuma wakati wa Uhuru, sijawahi kukuskia ukizungumzia Tanzania ya sasa.
Juzi pia nimekuskia kule Club house hoja zako zilikuwa ni za mtindo huu pia.
Unadhani kwanini hauna uungwaji mkono, ila wanaozungumzia ubaguzi wa kisiasa wanaungwa mkono? Jibu rahisi ni kuwa unajaribu kuleta solution ya tatizo ambalo halipo.
Rudi upya field ufanye tafiti zako, tumia kipaji chako kuzungumzia vitu ambavyo vipo kwa sasa.
 
Sasa Mzee Mohamed Said mbona hukujibu kuhusu
1; hali za kimaisha za wakristo wa vijijini?

2;Je watawala wote walio pita wa dini ya kiislamu hawakuona hilo tatizo?

3;Je unadhani kuondokana na mfumo wa kikisto katika serikali yenu utawaondoa Watanzania wote katika umaskini?

4;je unadhani hivi vyama ya kisaasa vya upinzani nanyo vipo katika mfumo huohuo aliouacha Nyerere na kama hapana je unaviamini vitaondoa hiyo dhulma kwa sisi waislam?

5;kipi kifanyike kuondoa hiyo dhulma inayoendelea kwa waislam Tanzania?

6;je unataka nchi yenu ya Tanzania iwe katika uongozi wa aina gani kwa kuzingatia usawa,haki na heshima kwa imani zote zilizopo Tanzania?

Mzee Mohamed Said karib sana kwa ufafanuzi
 
Van..
Kipimbo cha kuwa hoja zangu ni hai ni uandishi wangu na vitabu ambavyo nimeandika.
Nimeandika vitabu 10 hadi sasa.

Publishers hawachapi kitabu kisichokuwa na wasomaji.
Huu ni ushahidi kuwa hoja zangu ziko hai.

2020 na 2021 nimeandika vitabu viwili mfululizo.
Kuhusu historia ya TANU na uhuru kitabu cha Abdul Sykes kipo toleo la nne na kinauzika sana.

Kila TV na Radio stesheni zikija kunihoji wanachotafuta ni historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika.

Nitakuweka link hapa kama ushahidi.
Tanzania ya sasa nimezungumza sana na nitakuwekea link.

Naungwa mkono sana na ushahidi ni huo hapo juu.
Hayo mengine majibu nishakupa.

Sasa Mzee Mohamed Said mbona hukujibu kuhusu
1; hali za kimaisha za wakristo wa vijijini?

2;Je watawala wote walio pita wa dini ya kiislamu hawakuona hilo tatizo?

3;Je unadhani kuondokana na mfumo wa kikisto katika serikali yenu utawaondoa Watanzania wote katika umaskini?

4;je unadhani hivi vyama ya kisaasa vya upinzani nanyo vipo katika mfumo huohuo aliouacha Nyerere na kama hapana je unaviamini vitaondoa hiyo dhulma kwa sisi waislam?

5;kipi kifanyike kuondoa hiyo dhulma inayoendelea kwa waislam Tanzania?

6;je unataka nchi yenu ya Tanzania iwe katika uongozi wa aina gani kwa kuzingatia usawa,haki na heshima kwa imani zote zilizopo Tanzania?

Mzee Mohamed Said karib sana kwa ufafanuzi
Rhz,
Katika post yangu # 63 nimesema atakae kujua tatizo kama nilivyolieleza kwa ushahidi asome Part Three ya kitabu cha Abdul Sykes.

Hili jambo si la kulifanyia haraka.

Muhimu usome kwanza historia ya Tanganyika kuanzia harakati za uhuru hadi uhuru ulipopatikana na baadae.

Ukija na maswali ilhai hulijui tatizo hatuwezi kujadili.
 
Hii kitu ya kusema waislam wanabaguliwa nchi hii huwa inadhoofisha sana waislam, huo ubaguzi uko kwenye nyanja ipi...wakati mwingine inafanya ndugu zetu wakristo watuone watu wa kulia lia wakati wote!
Kilembwe,
Nakuwekea hapo chini link ya hotuba ya Kitwaba Selemani Kondo Bungeni Dodoma akieleza tatizo la ubaguzi katika elimu.

Ingia katika link hiyo hapo chini:
 
Mzee wetu kuna watu wamekuuliza hoja zako ni hai kwa watanzania wa sasa?
Ni watanzania wangapi wa sasa wanajali kuhusu Historia ya Uhuru?
Ni watanzania wangapi wanajali kuhusu Historia ya TANU?
Huo ubaguzi kila ukiulizwa, unarudi nyuma wakati wa Uhuru, sijawahi kukuskia ukizungumzia Tanzania ya sasa.
Juzi pia nimekuskia kule Club house hoja zako zilikuwa ni za mtindo huu pia.
Unadhani kwanini hauna uungwaji mkono, ila wanaozungumzia ubaguzi wa kisiasa wanaungwa mkono? Jibu rahisi ni kuwa unajaribu kuleta solution ya tatizo ambalo halipo.
Rudi upya field ufanye tafiti zako, tumia kipaji chako kuzungumzia vitu ambavyo vipo kwa sasa.
Mzee anatumia ile falsafa ya divide them and rule !! Falsafa ya kizamani,
 
Waislam wanabaguliwa vipi jamani? kama kwenye ajira mbona kuna wakristu wengi tu wanaisoma namba, labda huku Zanzibar ndio ubaguz Wa kidini upo nje nje kwenye ajira Ila sio bara
Marco...
Hebu angalia hii hapo chini:
MIAKA 60 YA UHURU WA TANGANYIKA1961: HALI ILIYOPO KATIKA FURSA ZA KAZI NA NYINGINEZO

Katika fursa hizi za kazi zilizotangazwa hapo chini waliopata ajira ni 260.

Katika hawa Waislam ni 47 tu.

Hali hii imekuwapo sasa miaka 60 na katika kila fursa iwe kuingia sekondari, vyuoni nk. nk.

Haya ni mambo yanayofikirisha sana.
Nini inasababisha hali hii?

Waislam wanazaa watoto "embicile," yaani watoto wenye mtindio wa akili, ni nini hasa sababu na chanzo cha haya?

Serikali yetu inaridhia hali hii?
Nini sababu ya hali hii?

Je Waislam tumeridhika na hali hii?
Yapo majibu?

BAKWATA inafahamu hali hii iliyopo nchini?

(Hili tangazo la serikali lina kurasa 21nimeweka ukurasa mmoja tu).
 
Kama ni lengo lake....
Basi hatofanikiwa, Mwingiliano wa watu umekuwa mkubwa sana.
Watu wengi huwezi ukaanza kuwaambia habari za Dini, sio kipaumbele chao.

Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
Van...
Umeniuliza maswali na imekupa majibu.
Bahati mbaya umefungua hoja nyingine ya ''kufanikiwa'' na ''mwingiliano wa watu.''

Si kitu naamini umesoma na umeelewa.
 
Nilikuwa nasikiliza kipindi cha maoni kinachorushwa na DW, ndipo nikamsikia huyu mtu anaitwa Mohamed Said akitoa maoni yake kuhusu miaka 60 ya uhuru, ingawa kabla nimewahi kusoma makala zake kadhaa, sikufikiri kwamba kwa ukubwa wa changamoto tulizonazo leo pamoja na mabadiliko makubwa ya kielimu na kimfumo bado atakuwa na mawazo kwamba waisilam wanabaguliwa.

Ninapata shida kumwelewa kwa sababu kwa taifa letu lilipofikia ningeweza kusema kama ni ubaguzi unaopaswa kupambana nao ni ule unaopendelea chama tawala.

Ubaguzi anaosema waisilam wanabaguliwa ni wa kufikirika sana. Sijui kama huyu ndugu amefanya utafiti kujua wakristo na waisilam wanaosota na kubaguliwa kwa sababu wao sio CCM!!.

Akiwa anasema hayo wapo viongozi wa kiisilam wengi tu wanaoshiriki uharamia wa kuwabagua ndugu zao ilimradi tu sio CCM.

Nashauri aache mambo ya kukaririshwa kwamba waisilam wanaonewa hizo hoja zilishapitwa na wakati. Isitosha zinafanya waisilam waonekane wanyonge na watu wa kuhurumiwahurumiwa tu.
huyu ni mtu mdini kupita kiasi, na huwa anatamani wakristo Tanzania hii wateketee kabisa. ni mtu hatari. ukiangalia clip zake, ni mfuasi wa yule shehe alisambaza sumu zanzibar na kuchapicha cd za chuki hadi makanisa yakachomwa zanzibar na watu kumwagiwa tindikali.
 
Ni kweli WaIslam wanabaguliwa sana ndio maana.

Rais wa JMT ni mgalatia
Waziri Mkuu ni Mgalatia
Rais wa Zanzibar ni Mgalatia
Jaji Mkuu ni Mgalatia
Jaji Kiongozi Mgalatia
Makamu wa rais Zanzibar wa kwanza na wapili wote waislamu.

Muislamu yupi anaeonewa mbona ni yeye tu anapiga kelele wengine wako bize na harakati za uchumi

Kwa nini waonewe ,wamefanya nini hadi waonewe!?

Isije kuwa anapiga kampeni za kuwa victimize waislamu waonekane wanaonewa

Je, waislamu walimtuma awatetee kuwa wanaonewa.!?
 
Back
Top Bottom