Mahakama yakataa Lissu kuunganishwa kwenye kesi ya mgawanyo wa mali za Chadema iliyofunguliwa na Said Issa Mohamed na wenzake

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
24,750
Reaction score
58,656

Mahakama Masjala Ndogo ya Dar es salaam April 30, 2026 imekataa ombi la Tundu Lissu la kuunganishwa katika shauri namba 8323/2025 lililofunguliwa na Said Issa Mohamed na wenzake dhidi ya Bodi ya Wadhamini wa Chama pamoja na Katibu Mkuu wa Chama.

Awali, baada ya Lissu kuwasilisha ombi hilo, mawakili wa upande wa Said Issa Mohamed na wenzake waliwasilisha mapingamizi wakipinga ombi hilo. Hata hivyo Mahakama Machi 03, 2026 iliyatupilia mbali mapingamizi hayo, hivyo ombi la msingi likaruhusiwa kuendelea kusikilizwa.

Kwa mujibu wa Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Dkt. Rugemeleza Nshala, ambaye pia alikuwa sehemu ya jopo la mawakili wa Lissu, amesema kuwa leo asubuhi April 30, 2026 Lissu alifikishwa Mahakamani lakini uamuzi uliotolewa umetupilia mbali hoja za Lissu kutaka kuunganishwa katika kesi hiyo.

Brenda Rupia: Ni kweli kuwa, Mwenyekiti alifikishwa mahakamani kusomewa uamuzi mdogo kufuatia Maombi yake ya kuunganishwa kwenye kesi ya said Issa Mohamed na wenzake wawili dhidi ya Bodi ya wadhamini na Katibu Mkuu wa Chama.

Katika uamuzi wake, Mahakama kuu imekataa Maombi ya Mhe Lissu kuunganishwa kwenye kesi hiyo.
===============
Walalamikaji: Said Issa Mohamed (Makamu Mwenyekiti mstaafu), Ahmed Rashid Khamis, na Marehemu Maulida Anna Komu.

MHE LISSU AFIKISHWA MAHAKAMANI LEO

Leo Asubuhi, Mheshimiwa Lissu amefikishwa Mahakamani kusomewa uamuzi mdogo kufuatia Maombi yake ya kuunganishwa kwenye kesi ya Said Issa Mohamed na wenzake dhidi ya Bodi ya wadhamini wa Chama na Katibu Mkuu.

Kuna mambo mawili hapa ya kukumbuka; Mosi, Maombi ya Mhe Lissu yalisikilizwa na Mwanga hivyo kisheria yeye alipaswa kutoa uamuzi wa Maombi hayo.

Pili, Ikumbukwe kwamba jalada la kesi ya Said Issa Mohamed na wenzake dhidi ya Bodi ya wadhamini na Katibu Mkuu, lilishaondoka mezani kwake, lipo kwa Jaji Ngunyale.

Sasa, Jaji Mwanga katika uamuzi wake amekataa Maombi ya Lissu kuunganishwa kwenye hiyo kesi.

Ufafanuzi zaidi utatolewa na Chama.

Wakili @ShundoGaston,
Mkurungenzi wa sheria wa CHADEMA HQ.
 
Ndio maana wamempeleka mahakamani kimya kimya, taasisi ya mahakama hapa Tanzania imekua na mambo ya aibu sana.

Hivi kwani wangetangaza mapema watu wawepo mahakamani kisha watoe hayo maamuzi yao pangetokea nini?

Ni wazi wanajua wanatoa maamuiz yasiyo ya haki na kumkomoa Lissu na Chadema ndio maana wanajihami kwa kufanya mambo sirini.

Wanajua wazi kabisa maamuzi yao feki ndio yanaweza kuwa chanzo cha uvunjifu wa amani, idara ya mahakama baada ya kuchoka kuchezea haki zetu, sasa wanaichezea amani yetu.
 
Brenda Rupia: Ni kweli kuwa, Mwenyekiti alifikishwa mahakamani kusomewa uamuzi mdogo kufuatia Maombi yake ya kuunganishwa kwenye kesi ya said Issa Mohamed na wenzake wawili dhidi ya Bodi ya wadhamini na Katibu Mkuu wa Chama.

Katika uamuzi wake, Mahakama kuu imekataa Maombi ya Mhe Lissu kuunganishwa kwenye kesi hiyo.
===============
Walalamikaji: Said Issa Mohamed (Makamu Mwenyekiti mstaafu), Ahmed Rashid Khamis, na Marehemu Maulida Anna Komu.
Gentleman,
huyo muhani mropokaji anae tembea na kontena la wali maharagwe hadi kizimbani, kamwe asingeweza kuruhusiwa kuiabisha mahakama kwa njaa zake.

akajipange upya
 
Mahakama Masjala Ndogo ya Dar es salaam April 30, 2026 imekataa ombi la Tundu Lissu la kuunganishwa katika shauri namba 8323/2025 lililofunguliwa na Said Issa Mohamed na wenzake dhidi ya Bodi ya Wadhamini wa Chama pamoja na Katibu Mkuu wa Chama.

Awali, baada ya Lissu kuwasilisha ombi hilo, mawakili wa upande wa Said Issa Mohamed na wenzake waliwasilisha mapingamizi wakipinga ombi hilo. Hata hivyo Mahakama Machi 03, 2026 iliyatupilia mbali mapingamizi hayo, hivyo ombi la msingi likaruhusiwa kuendelea kusikilizwa.

Kwa mujibu wa Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Dkt. Rugemeleza Nshala, ambaye pia alikuwa sehemu ya jopo la mawakili wa Lissu, amesema kuwa leo asubuhi April 30, 2026 Lissu alifikishwa Mahakamani lakini uamuzi uliotolewa umetupilia mbali hoja za Lissu kutaka kuunganishwa katika kesi hiyo.
 
Mahakama Masjala Ndogo ya Dar es salaam April 30, 2026 imekataa ombi la Tundu Lissu la kuunganishwa katika shauri namba 8323/2025 lililofunguliwa na Said Issa Mohamed na wenzake dhidi ya Bodi ya Wadhamini wa Chama pamoja na Katibu Mkuu wa Chama.

Awali, baada ya Lissu kuwasilisha ombi hilo, mawakili wa upande wa Said Issa Mohamed na wenzake waliwasilisha mapingamizi wakipinga ombi hilo. Hata hivyo Mahakama Machi 03, 2026 iliyatupilia mbali mapingamizi hayo, hivyo ombi la msingi likaruhusiwa kuendelea kusikilizwa.

Kwa mujibu wa Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Dkt. Rugemeleza Nshala, ambaye pia alikuwa sehemu ya jopo la mawakili wa Lissu, amesema kuwa leo asubuhi April 30, 2026 Lissu alifikishwa Mahakamani lakini uamuzi uliotolewa umetupilia mbali hoja za Lissu kutaka kuunganishwa katika kesi hiyo.

Brenda Rupia: Ni kweli kuwa, Mwenyekiti alifikishwa mahakamani kusomewa uamuzi mdogo kufuatia Maombi yake ya kuunganishwa kwenye kesi ya said Issa Mohamed na wenzake wawili dhidi ya Bodi ya wadhamini na Katibu Mkuu wa Chama.

Katika uamuzi wake, Mahakama kuu imekataa Maombi ya Mhe Lissu kuunganishwa kwenye kesi hiyo.
===============
Walalamikaji: Said Issa Mohamed (Makamu Mwenyekiti mstaafu), Ahmed Rashid Khamis, na Marehemu Maulida Anna Komu.

MHE LISSU AFIKISHWA MAHAKAMANI LEO

Leo Asubuhi, Mheshimiwa Lissu amefikishwa Mahakamani kusomewa uamuzi mdogo kufuatia Maombi yake ya kuunganishwa kwenye kesi ya Said Issa Mohamed na wenzake dhidi ya Bodi ya wadhamini wa Chama na Katibu Mkuu.

Kuna mambo mawili hapa ya kukumbuka; Mosi, Maombi ya Mhe Lissu yalisikilizwa na Mwanga hivyo kisheria yeye alipaswa kutoa uamuzi wa Maombi hayo.

Pili, Ikumbukwe kwamba jalada la kesi ya Said Issa Mohamed na wenzake dhidi ya Bodi ya wadhamini na Katibu Mkuu, lilishaondoka mezani kwake, lipo kwa Jaji Ngunyale.

Sasa, Jaji Mwanga katika uamuzi wake amekataa Maombi ya Lissu kuunganishwa kwenye hiyo kesi.

Ufafanuzi zaidi utatolewa na Chama.

Wakili @ShundoGaston,
Mkurungenzi wa sheria wa CHADEMA HQ.
Mbona wanakimbia kesi sasa, si wanajifanya kuwa wao wanaweza kesi wamuunganishe ili tuone nan mbabe Mahakaman.
 
Na kwanini wamempeleka mahakamani kwa siri ?

Hadi walivyoona watu wamepiga picha hayo magari ya magereza na kuyarusha mtandaoni ndio wanajitokeza kusema leo wamempeleka Lissu mahakamani?
 
Gentleman,
huyo muhani mropokaji anae tembea na kontena la wali maharagwe hadi kizimbani, kamwe asingeweza kuruhusiwa kuiabisha mahakama kwa njaa zake.

akajipange upya
Ili Taifa Bado linamikundu kama
 
Gentleman,
huyo muhani mropokaji anae tembea na kontena la wali maharagwe hadi kizimbani, kamwe asingeweza kuruhusiwa kuiabisha mahakama kwa njaa zake.

akajipange upya

Punguani kama wewe, unashindwaje hata kuutambua tu ulemavu wako wa akili ili kujua pengo kubwa la utofauti wa akili na utashi kati ya the super intelligent TUNDU ANTIPAS LISU, and you the deeply brain crippled hopeless creature? Yaani wewe shimo la takataka huoni hata aibu kulitamka jina la mpigania haki mkuu Lisu? Wewe subiri yakitajwa majina ya takataka ili uyasifie uwezavyo maana ndiyo yanayojaza tumbo lako wewe uliye jalala.
 
Jaji Mwanga Mzanzibar
Waliofungua kesi Wazanzibar
Faida ya kufungiwa chama anapata Mzanzibar.

Mitanganyika ipo kimya.
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Wakijua wasijue nini kinaongezeka zaidi kujaaa tu Mahakamani kujiliza liza!!!

LISSU yupo Salama icho ndicho muhimu zaidi✍️
 
Habari nusu nusu. Mbona haiandikwi sababu za kutokubali hilo ombi? Mnataka watu tutengeze majibu yetu kichwani au siyo
 
Nilitegemea Chadema wangekuwa na watu/mtu gerezani wa kuwapa taarifa za Lissu. Chama kikuu Tanzania kinashindwaje kuwa na mtu wao gerezani?

Amandla...
 
Back
Top Bottom