Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,414
kundi kubwa la wanaopenda kusema waislamu wanabaguliwa !:
* maeneo ya magomeni kwenye vijiwe vingi na mitaani.
*kariakoo sehemu za misikiti baadhi na vijiwe vya kahawa.
*zanzibar huko hakuna pakujuza.
*ndugu zao waliopigania uhuru.
*wasio taka kusomesha watoto wao kwa kuwa elimu ilikuwa inaonekana ya ukristo.
*elimu finyu zilizojaa pandikizi kama wale waliokula mikongoto mwembechai na kule nairobi.
*pandikizi wanao toka nchi za kiarabu kujifanya wanakuja kusaidia waislamu "kuna kipindi mwalimu aliwafulumusha kama mbwa baada ya kuona nchi inapoelekea ina gawa"
mangine mtamaliza wenyewe maana na jua kwa nini wanasema wametengwa.