Nakupa jibu lepesi
Kuna aina mbili za HIV, HIV-1 and HIV-2, huenezwa zaidi na sexual contacts, both cause clinically indistinguishable AIDS. HIV-2 is less easily transmitted, and the period between initial infection and illness is longer in the case of HIV-2. HIV-1 huenezwa kwa wepesi na progression to AIDS iko faster. Wazungu wana zaidi HIV-2.
Sasa hata kwenye HIV-1 ina magroup 4 (M, N, O, P)
M ina subtype kama 10 (A-H) A D C ziko Africa na ni hatari sana ! Lakini B iko less virulent na iko ulaya na marekani.
Hizi ndizo sababu.
NB Dawa zote (ART) zilitengenezwa kwa subtype B waliko wazungu na baadaye zikaletwa kutumika kwa waafrica wenye subtype A D and C, ndiyo maana huwa naawaambia watu ART is not a solution. Tuache ngono zetu, tumia condom
Masa
Kamanda wangu
Kwenye issue serious lazima tusaidiane, ulinifurahisha sana kwenye post hii ulikuwa wazi bila kuficha ukweli wa tabia ya marehemu, kila siku yeye anaowa tu. Kwa kweli Mkulu tubadili tabia tunakwisha...statistics za Tanzania ni balaaa! Kwenye siasa mkuu tutapambana hahah bila kuparurana!
Kumbe mpwa wewe ni Dr. mzuri sana sasa mbona kule kwa yule binti anaye taka kunibambikizia mimba hujanipa ushauri mzuri kama hapo juu?
Chukua tahadhali
Masa
Mpwa naona leo umeguswa kweli kweli je umepima lakini? Dah hongera sana kwa kutujenga kisaikolojia kulichukia gonjwa hili. Unaweza kunisaidia box la condom mpwa?
Poa mazee nitakupa tukikutana pale Mlimani city!
Mpwa Mpwa karibu sana MCity hapa ndiyo kijiwe changu, mitaa ya Auditorium Hall.
Mungu atusaidie kwa kweli, ugonjwa mbaya huu. Mbaya zaidi unatumaliza sisi vijana ambao tuna nguvu na kuwapa wazee mizigo ya kulea watoto yatima. Jambo la msingi hapa kila mtu achukue hatua, na sio kuanza kumsema mtu ambaye tayari ameshaondoka. Usimnyoshee mwenzako kidole, kumbuka vidole vingine vinakuja kwako mwenyewe.
Huyu mtoto wa Kigamboni, si ndo yule aliyempokea airpot mcheza filamu wa Tz aliyekuwa BBA Revolution huko SA?...Si ajabu ni ile halbadiri ya mkwe wake wa Kigamboni aliyemkana.
Huyu mtoto wa Kigamboni, si ndo yule aliyempokea airpot mcheza filamu wa Tz aliyekuwa BBA Revolution huko SA?
Pretty:
Unaanza vizuri na baadaye unaboronga. Watu wengi wanaondoka wanaachia waliobaki mizigo ya kulea watoto na mambo mengi. Hivyo tutajifunza vipi bila kusema waliondoka?
Cha muhimu zaidi ni kujifunza kuelezana kabla ya watu hawajaondoka.
Mwanaume ndio kiini hasa cha mabadiliko kuhusu hili gonjwa. Maana kila mwanaume akiwa na mpenzi mmoja na akiacha kutongoza tena, sidhani kama kutakuwa mlipuko wa hili gonjwa kiasi hiki.
Huyu mtoto wa Kigamboni, si ndo yule aliyempokea airpot mcheza filamu wa Tz aliyekuwa BBA Revolution huko SA?