charminglady nani alimwambia Buchanan kuwa tunataka kumulikwa na tochi yake huku
Huku ilikuwa stress free sasa naona kunakuwa kama lile jukwaa la akina Ritz na zomba
Madame B uko salama wewe. manoah sijamuona alikuwa ameambiwa anapendwa
Vin Diesel uko salama kaka

stevoh mbona unanichanginyi hapo sasa
Kwani Marry Hunbig ndio Mamndenyi
Najua Mamndenyi ni mke wa Vin Diesel sasa ametoka wapi kuwa Marry Hunbig aise
Usinitafutie ugomvi kwa Baba V na Vin Diesel aise
Madame B na charminglady tumwache huyo mod bana huku ataambulia maneno laini mpaka atalainika na kuondoka
Huku wamejaa wastaarabu hawana maneno makali wala hawatukani kabisa
Copy kwa Mungi, Vin Diesel, manoah na stevoh na Arushaone c

Mkuu vip???? Je nimevunja sheria??? Hapa ni chitchat bana.....