Mobile tracker - simu imeibiwa sa 5:07pm ikapatikana saa 8:49

kama simu yako ina ovi store itakuwa
vzuri zaidi. Nenda kwenye ovi store
utafute application inayoitwa f secure
n kama ukiikosa hyo waweza kuona
nyingne inaitwa netQin ant virus

thanx mkuu nimefanikiwa ila nimepata MCfee
 
yaaaani mkuu nilikuwa naogopa ila jamaa yangu alikuwa anajiamini sana wangeanzisha vurugu je? wangevunja vioo je? halafu jamaa yangu alikunja notebook yake akaweka kiunoni na kuficha na shati eti bastola haha...jamaaa walitoa macho kama wamebanwa na mlango....kila akiongea utasikia anasema nitakuvunja miguu ukijaribu kukimbia.

mkuu nkiwa na shida ya kwenda kupiga mkwara mahali, chonde chonde ntaku PM unikodishie huyo jamaa aka, mana ni mkareee!
 
kama simu yako ina ovi store itakuwa
vzuri zaidi. Nenda kwenye ovi store
utafute application inayoitwa f secure
n kama ukiikosa hyo waweza kuona
nyingne inaitwa netQin ant virus

Mkuu nimepata F-secure lakini mbona nimepata trial version ya siku saba
 
kula 5 mkuu hao kama kumkamata mlevi yani utafikiri kipindi cha bongo dar
 
Mkuu nimepata F-secure lakini mbona nimepata trial version ya siku saba
Ni kweli F-Secure ni trial..hebu jaribu NetQin ambayo inafanya vizuri hadi kwenye mambo ya virus. Kama huipati kwenye ovi store itafute kwenye GetJar..(www.getjar.com)
 
kama hyo imegoma basi tafuta NETQIN ant virus.... mimi natumia f secure anti theft na pia natumia netqin ant virus na anti lost........ NETQIN ndo nzuri zaidi kwa sababu yenyewe ina hadi browser secure pia ni full version
 
Mkuu nimepata F-secure lakini mbona nimepata trial version ya siku saba

[h=2][/h]
kama hyo imegoma basi tafuta NETQIN ant virus.... mimi natumia f secure anti theft na pia natumia netqin ant virus na anti lost........ NETQIN ndo nzuri zaidi kwa sababu yenyewe ina hadi browser secure pia ni full version....
 
Sharobalo.. mie nilijua huu utundu wa kuhack ni wa kwenye mtandao tu kumbe hata uraiani unautumia hahaaa...
 
Back
Top Bottom