Hakuna atakayerest in peace hapa kama ni kurest in peace utaondoka wote aise tukutane huko huko bana mambo gani haya ya kula vitu vizuri peke yako aisehivi mnajua kifo kinaua halafu mta rest in peace
Hakuna atakayerest in peace hapa kama ni kurest in peace utaondoka wote aise tukutane huko huko bana mambo gani haya ya kula vitu vizuri peke yako aisehivi mnajua kifo kinaua halafu mta rest in peace
Hakuna atakayerest in peace hapa kama ni kurest in peace utaondoka wote aise tukutane huko huko bana mambo gani haya ya kula vitu vizuri peke yako aise
wakati mimi nawahi mlikuwa wapi ?
Dua la kuku hili
natamani ningekuwa ndio huo ukuta hapo nyuma...
Hahahahaha MO11 haya bana usije kuweka picha hapa kuna akina Honey Faith na miss neddy watapofuka macho bure
hHaha hata akiweka sitajua kinachoendelea aweke tu
mama weeee kitu hicho
Kwanza kimoyomoyo kisha kwa sauti