Huyu anaishi pm nami nami?
Copy yako kabsaaa miss chagga
sosoliso wacha basi bana usimuite hapa ataanzisha valangati bure aise. Haya mambo hayana mipaka aise yaani hapa ukikutana na kitu kama hiki hata ukiwa na wife ukikiangalia wife hatalalamika maana iko mahali pakeBinamu yake mtu nikadhani umeshaacha kumbe lol.. Binamu yako (simtaji jina hapa) analalamika binamu kila ukiona kichaka unasikia kupiiii..