Acha uongo hujui chochote umekaririshwa tu. Hiyo Misri unayoijua zamani lilikuwa ni Taifa la kikristo na Mtume Luka aliyepeleka Injili hapo alizikwa huko. Uislam uliingia huko baada miaka ya 550s AD. Na kwa taarifa yako kabla ya uislam mataifa mengi ya kiarabu yalikuwa ya kikristo ndomana unaona karibu makanisa makongwe yanapatikana katika nchi za kiarabu mfano Monastery of saint Anthony ipo Misri imejengwa karne ya 4 mwaka 356. Mfano mwingine ni Dura Europos house church lipo Syria limejengwa kati ya mwaka 233 na 256.
Sasa kama uislam ulikuwepo kabla ya ukristo tafuta msikiti wowote dunia nzima uliojengwa miaka hiyo? au kuanzia mwaka 550 kurudi nyuma. Ukiukuta huo msikiti utakuwa wa mchongo, sasa jiulize hao waislam walikuwa wanasalia wapi walikuwa hawajengi misikiti?
Acheni kuongopeana, uislam umeletwa na Muhammad na umeanza baada ya kuzaliwa yeye miaka ya 550 na umesambazwa na vita ya jihad aliyoianzisha, ndipo mataifa mengi ya kiarabu wakalazimishwa kuslim kwa upanga. Kwahiyo ndomana sasa hivi unaona mataifa almost yote ya kiarabu ni waislam sababu ya msingi ni vita ya jihad.