Mo Salah atoa Pounds 3,000,000 za Misri ($156,664) kujenga upya Kanisa lililoungua Giza

Hivi unajisikia je unapoandika lugha chafu kiasi hiki?

Upo normal kweli wewe?hata kama mtu amekuudhi kwanini usiwajibike kwa kosa lake mkaendelea na mjadala kiungwana?
Anaitwa chokodari,nimefupisha...omari omy,abdallah dullah...shida nini!?
 
Uislam ni dini tangu Adam,ukiristo ndiyo dini iliyobuniwa na Paulo baada ya yesu kusepa
Acha uongo hujui chochote umekaririshwa tu. Hiyo Misri unayoijua zamani lilikuwa ni Taifa la kikristo na Mtume Luka aliyepeleka Injili hapo alizikwa huko. Uislam uliingia huko baada miaka ya 550s AD. Na kwa taarifa yako kabla ya uislam mataifa mengi ya kiarabu yalikuwa ya kikristo ndomana unaona karibu makanisa makongwe yanapatikana katika nchi za kiarabu mfano Monastery of saint Anthony ipo Misri imejengwa karne ya 4 mwaka 356. Mfano mwingine ni Dura Europos house church lipo Syria limejengwa kati ya mwaka 233 na 256.

Sasa kama uislam ulikuwepo kabla ya ukristo tafuta msikiti wowote dunia nzima uliojengwa miaka hiyo? au kuanzia mwaka 550 kurudi nyuma. Ukiukuta huo msikiti utakuwa wa mchongo, sasa jiulize hao waislam walikuwa wanasalia wapi walikuwa hawajengi misikiti?

Acheni kuongopeana, uislam umeletwa na Muhammad na umeanza baada ya kuzaliwa yeye miaka ya 550 na umesambazwa na vita ya jihad aliyoianzisha, ndipo mataifa mengi ya kiarabu wakalazimishwa kuslim kwa upanga. Kwahiyo ndomana sasa hivi unaona mataifa almost yote ya kiarabu ni waislam sababu ya msingi ni vita ya jihad.
 
Qur'an 7:11 'na hakika tulikuumbeni,Kisha tukakutieni sura,Kisha tukawaambia malaika msujudieni Adam,wakasujudu isipokua ibilisi....'....uislam huujui unaropoka tu umeanza 550 baada ya kuzaliwa Muhammad,Muhammad hajazaliwa 550 kazaliwa 570,kwa mujibu wa historia unayoona ni muongozo,akipata unabii akiwa na miaka 40,ilitakiwa useme 610AD...kwa kuwa hujui uislam ni ni nini Basi leo ujue uislam ni Imani ya kumpwekesha mungu na uungu wake kwamba Hana mshirika,hakuzaa Wala hakuzaliwa,hafanani na chochote,ndiye aliyemuumba na kumpa muongozo Adam,ibarhim,lit(lot),nuhu,Musa,Isa nk..wote waliamini na kumnadi mungu huyo..uislam ni kujisalimisha kwa mungu muumba...Kama hujaelewa sema hujaelewa wapi nikueleweshe
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom