Mo Salah atoa Pounds 3,000,000 za Misri ($156,664) kujenga upya Kanisa lililoungua Giza

Ameshasaidia sana kaya maskini kuna mwaka mmoja kuna wezi waliiba nyumbani kwao lakini bahati nzuri walikamatwa Mo Salah akamwambia baba yake mzee ghayl Salah asiendelee na hiyo kesi badala yake akaenda kuwatoa wale wezi akawapa mtaji wa kutosha tu wafungue biashara kwa sharti la kuacha wizi..Hapo bado hatujazungumzia utitiri wa hospitali alizojenga huko kijijini kwao anapotokea
Egypt kuna Masikini na mafukara wengi kuliko makanisa.
Angeelekeza nguvu huko
 
Kuna nchi yoyote hapa duniani ina makanisa mengi kuliko maskini? Halafu mkuu tafuta hela hili usiwapangie wenye nazo jinsi ya kutumia,maskini huwa tunaona kusaidiwa ni haki yetu kama wewe unavyoamini lakini hili suala lipo ndani ya imani ya mtu na si vyema sana kumpangia..Salah amesaidia zaidi ya familia 450 nchini kwao inatosha mpaka hapa
 
Sasa hata kama ndio "open minded" ndio ushindwe kuandika "Qul Huwa Allahu" kweli!? Kazi ipo adriz Kisai Njooni mumuone muigizaji.
😂😂😂mnakaza fuvu kwa vitu vidgo sana no wonder badala ya kumjibu Salma Rushdie kinovel chake kwa kupangua hoja zake sisi Tunataka kumkata kichwa..Niliyekuwa namuelekeza ni mgalatia kulikuwa hakuna haja ya kumwandikia kwa lugha ngumu kama hiyo zaid ya kuandika kimazoea hili atambue haraka,hii ni sawa na kuandika Alamdulilai hili ieleweke mapma kuliko kukazana mafuvu wkt unamuelekeza mgalatia
 
Mbona Misri wakristo wanaishi kwa bata sana kitambo tu sio kama nchi nyingine za wavaa kobazi ndio maana Mungu anawabariki sana hakuna sheria zile za kuumizana umizana na ndio maana wananchi wake wapo open minded.

Misri unaweza ukatembea siku nzima unaweza kuona watu wachache tu wamevaa makanzu sio kama nchi nyingine za kiarabu
Misri wakristo wapo wengi sana, lakin katika nchi za kiarabu lebanon ndio inaongoza kuwa na wakristo wengi ambao wamezidi kuliko dini nyingine mpaka rais sharti lazima awe mkristo tu
 
Huyo halafu kwao hela zipo hachezeu mpira shida, mwenyewe anakwambia bila mpira angekuwa anacheza playstation tu ndani halafu jioni anaenda kukagua visima vya mafuta vya baba yake
Acha unafiki salah ametokea maisha ya kawaida tu
 
W
Sasa hata kama ndio "open minded" ndio ushindwe kuandika "Qul Huwa Allahu" kweli!? Kazi ipo adriz Kisai Njooni mumuone muigizaji.
Wakristo watu wajinga sana, yaani huwa hawaoni aibu kuigiza kwamba wao ni Waislamu, hawa ndiyo wamejaa sana huko mitandaoni. Badala wajikite katika kuyahakiki maandiko yao kutwa wanaigiza igiza.
 
Mbona Misri wakristo wanaishi kwa bata sana kitambo tu sio kama nchi nyingine za wavaa kobazi ndio maana Mungu anawabariki sana hakuna sheria zile za kuumizana umizana na ndio maana wananchi wake wapo open minded.

Misri unaweza ukatembea siku nzima unaweza kuona watu wachache tu wamevaa makanzu sio kama nchi nyingine za kiarabu
Mohamed morsi akitaka kuleta sharia misri na magaida wenzake wa M.brotherhood

Akina Al-sisi wakaipiga Pini haraka sana.
 
Oman,UAE(Dubai),Qatar,Brunei,Morocco na nyingine chache ulizozitaja hapo ni nchi moja ya nchi chache sana za kiarabu ambazo wakristo wapo free kufanya mambo yao..mfano mdogo tu wewe jamaa wa kikwajuni hapo kwenu Zanzibar mnatia bakora wale wote ambao watakula mchana either kwenye migahawa au wapi ,bila kujali huyu ni mkristo au vipi serikali inatoa statement ya kufunga migahawa yote bila kujali kuna jamii ya kikristo pia ambayo inategemea hiyo migahawa pia ajabu hii,jambo hili huwezi kukuta kwenye jamii ya watu wenye akili timamu kama hizo nchi nilizozitaja hapo..Misri unaweza kutembea kichwa wazi mwanamke na hakuna yeyote atakayekuhoji jaribu jambo hili somalia au Afghanistan uone wanavyokufanya asusa..Afterall hujatembea popote huna cha kunambia chochote mtu kama wewe
Hapa nimekutajia nchi nyingi tu,wewe hujatembea,tembea uone,nimekutajia nchi kibao hapo,zeje waislamu wengi,na wakristo wako huru.
 
W
Wakristo watu wajinga sana, yaani huwa hawaoni aibu kuigiza kwamba wao ni Waislamu, hawa ndiyo wamejaa sana huko mitandaoni. Badala wajikite katika kuyahakiki maandiko yao kutwa wanaigiza igiza.
Yaani akitokea muislamu ambaye haishi kwa kumezeshwa vitu na kukaririshwa akawaambia hiki sio sahihi mnamkimbizia kwetu Wakristo. Mkuu Mungu alipokuumba akaweka hicho kitu juu ya shingo (kichwa) akainstall na brain maana yake uwe mtu wa kufikiri. Focus kwenye kutenda yaliyo mema, uzuri ukitenda jema unajua na ukitenda baya unajua. Haya mambo ya maandiko, dini hayatakusaidia kitu kama moyo wako ni mchafu.
 
Ameshasaidia sana kaya maskini kuna mwaka mmoja kuna wezi waliiba nyumbani kwao lakini bahati nzuri walikamatwa Mo Salah akamwambia baba yake mzee ghayl Salah asiendelee na hiyo kesi badala yake akaenda kuwatoa wale wezi akawapa mtaji wa kutosha tu wafungue biashara kwa sharti la kuacha wizi..Hapo bado hatujazungumzia utitiri wa hospitali alizojenga huko kijijini kwao anapotokea
Mo Salah na Sadio Mane ni waislam wa kupigiwa mfano.
 
Yaani akitokea muislamu ambaye haishi kwa kumezeshwa vitu na kukaririshwa akawaambia hiki sio sahihi mnamkimbizia kwetu Wakristo. Mkuu Mungu alipokuumba akaweka hicho kitu juu ya shingo (kichwa) akainstall na brain maana yake uwe mtu wa kufikiri. Focus kwenye kutenda yaliyo mema, uzuri ukitenda jema unajua na ukitenda baya unajua. Haya mambo ya maandiko, dini hayatakusaidia kitu kama moyo wako ni mchafu.
Sababu Wakristo wajinga sana, hakuna muislamu wa sampuli hii.

Kwahiyo hii tabia muiache ya kujifanya Waislamu, humu naona imekithiri sana.
 
Back
Top Bottom