Umesoma kichwa cha habari gazeti la mtanzania la leo? Kinasema. "Serikali yakataa vyombo vya kimataifa kumsaka Mo Dewji"Kuna wakat ni bora ujiteke mwenyewe kuogopa fedheha ya kuswekwa ndani kama akina manji na Seth na ruge
Ndugu!! Mbona ni vigumu kufikirikaWatekaji watamuachia tu
Very true chief.Kiukweli bora kuyasikia kwa jirani. Lakini ukiwa mke, mme mtoto au mzazi wa mhanga, jamani....ni jehanamu kamili maumivu ya moyo unayoyapata.
Kweli.tumuombee Mo apatikane mapema akiwa hai na tuzidi kuwaombea familia yake kipindi hiki kigumu ambacho hata lepe la usingizi hawalipati kwa mawazo........
Na Roma alijiteka mwenyewe?Mkuu una uhakika gani kama Mo hajajiteka mwenyewe?? Mimi naona hii ni "movie" tu imechezwa kwa sababu fulani fulani ambazo hatuzijui. Kama kweli ametekwa Serious basi watekaji wangeshadai fidia muda mrefu sana. Ukiona mtu anatekwa pasipo watekaji kudai "fidia" basi fahamu huo utekaji unamashaka makubwa.
Kama lengo lao lilikuwa ni kumuua basi wangeweza kumchapa "risasi" pale pale nje ya Hoteli, na kama lengo lao ni kupata "information" basi mpaka sasa hivi wangekuwa wameshamwachilia, na pia kama lengo lao ni kupata pesa pia mpaka sasa wangekuwa wameshadai walipwe fidia (ransom).... Kwa kifupi mimi naamini Mo amejiteka mwenyewe.
Ni siku ya 3 sasa tajiri na mmoja kati ya watu walioajiri vijana wengi zaidi TZ haonekani.
Baada ya wiki watakaobaki na maumivu ni familia pekee huku jeshi la polisi litazidi kujinasibu kushikilia watu ambao kiuhalisia hata hawaelewi chochote.
Mipango ya kumteka mtu kama Mo haiwezi fanywa na zaidi ya watu 5 tena wanaofahamiana vyema. Naona kabisa nafasi ya Mo kuonekana akiwa salama ni ndogo sana. Yote kwa yote Ulinzi wa Mungu umuangazie huko aliko Jeshi letu halitaweza kamwe kufanikisha kumpata

I was thinking the sameMkuu una uhakika gani kama Mo hajajiteka mwenyewe?? Mimi naona hii ni "movie" tu imechezwa kwa sababu fulani fulani ambazo hatuzijui. Kama kweli ametekwa Serious basi watekaji wangeshadai fidia muda mrefu sana. Ukiona mtu anatekwa pasipo watekaji kudai "fidia" basi fahamu huo utekaji unamashaka makubwa.
Kama lengo lao lilikuwa ni kumuua basi wangeweza kumchapa "risasi" pale pale nje ya Hoteli, na kama lengo lao ni kupata "information" basi mpaka sasa hivi wangekuwa wameshamwachilia, na pia kama lengo lao ni kupata pesa pia mpaka sasa wangekuwa wameshadai walipwe fidia (ransom).... Kwa kifupi mimi naamini Mo amejiteka mwenyewe.
Hiyo ni dalili tosha kwamba watekaji wapo katk system.Kinachoumiza wanaopotea kwa kutekwa wakirudi wanakaa kimya hawana maelezo yoyote. najua atapatikana japo hatakuwa na maelezo
Fidia ya nini!?Mkuu una uhakika gani kama Mo hajajiteka mwenyewe?? Mimi naona hii ni "movie" tu imechezwa kwa sababu fulani fulani ambazo hatuzijui. Kama kweli ametekwa Serious basi watekaji wangeshadai fidia muda mrefu sana. Ukiona mtu anatekwa pasipo watekaji kudai "fidia" basi fahamu huo utekaji unamashaka makubwa.
Kama lengo lao lilikuwa ni kumuua basi wangeweza kumchapa "risasi" pale pale nje ya Hoteli, na kama lengo lao ni kupata "information" basi mpaka sasa hivi wangekuwa wameshamwachilia, na pia kama lengo lao ni kupata pesa pia mpaka sasa wangekuwa wameshadai walipwe fidia (ransom).... Kwa kifupi mimi naamini Mo amejiteka mwenyewe.
Yaani unadauti nguvu ya maombi mzee.Albdadili haina nguvu Mkuu badilisha fikra mkuu
Yaani unadauti nguvu ya maombi mzee.
unaweza kukuta Masoud djuma ndo kamteka Mo