Haya ndo mambo yanayopelekea kuamini probability ya yeye kupatikana kuwa ndogo. Sasa ni siku ya 3 pia lazima atakuwa amewatambua watekaji kwa nguvu aliyonayo hawawez kumuacha hivihivi maana pia na wao itakuja kuwa shida kubwa kwao...Akipatikana nitaamini kua ngamia anaweza kupenya kwenye tundu la la sindano!
WaTanganyika walivyo wanafiki sasa hivi wana kikampeni eti bring back our Mo...ngoja baada ya wiki uone kila mtu kashahau na maisha yanaendelea na wataendelea kumsifia Pombe ambaye kwa mtu mwenye akili timqmu anajua fika kabisa kuna mkono wa "system" ktk kutekwa kwa jamaa!
Oneni kwa yule tajiri mkurya wa Tarime Zakaria...zilivumaa weee lakini sasa hivi kimya.
Angekua boya si ungekuta na yeye kapotea kama huyu Muhindi?
Truth be told, Kichaa anahusika na huu uhuni unaoendelea hapa Tanganyika!
Ha ha ha haunaweza kukuta Masoud djuma ndo kamteka Mo
Hahahaha!!! da umewaza Kama mimiHapa ndo naona uchawi hauna nguvu.
Ungekuwa una nguvu basi wangepigwa kipapai huko waliko wangemrudisha jamaa nzima
Mkuu una uhakika gani kama Mo hajajiteka mwenyewe?? Mimi naona hii ni "movie" tu imechezwa kwa sababu fulani fulani ambazo hatuzijui. Kama kweli ametekwa Serious basi watekaji wangeshadai fidia muda mrefu sana. Ukiona mtu anatekwa pasipo watekaji kudai "fidia" basi fahamu huo utekaji unamashaka makubwa.
Kama lengo lao lilikuwa ni kumuua basi wangeweza kumchapa "risasi" pale pale nje ya Hoteli, na kama lengo lao ni kupata "information" basi mpaka sasa hivi wangekuwa wameshamwachilia, na pia kama lengo lao ni kupata pesa pia mpaka sasa wangekuwa wameshadai walipwe fidia (ransom).... Kwa kifupi mimi naamini Mo amejiteka mwenyewe.
funguka mkuuKuna wakat ni bora ujiteke mwenyewe kuogopa fedheha ya kuswekwa ndani kama akina manji na Seth na ruge
Kama watadai ransom unataka ujulishwe wewe?Mkuu una uhakika gani kama Mo hajajiteka mwenyewe?? Mimi naona hii ni "movie" tu imechezwa kwa sababu fulani fulani ambazo hatuzijui. Kama kweli ametekwa Serious basi watekaji wangeshadai fidia muda mrefu sana. Ukiona mtu anatekwa pasipo watekaji kudai "fidia" basi fahamu huo utekaji unamashaka makubwa.
Kama lengo lao lilikuwa ni kumuua basi wangeweza kumchapa "risasi" pale pale nje ya Hoteli, na kama lengo lao ni kupata "information" basi mpaka sasa hivi wangekuwa wameshamwachilia, na pia kama lengo lao ni kupata pesa pia mpaka sasa wangekuwa wameshadai walipwe fidia (ransom).... Kwa kifupi mimi naamini Mo amejiteka mwenyewe.
Kuna mambo yanatokea kimasihara ila ndo inakuwa 1/1. Ni ngumu sana kuamini kwamba mtu kama Mo anaweza asionekane tena, kama ilivyo kwa Agwanda n.kKitu ambacho hakinijii akilin au hata kukiwaza n eti wamuue, ndio wanaweza labda ila sio rahisi kabisa
Yalotokea kwa Roma Yalinisikitisha sanaKinachoumiza wanaopotea kwa kutekwa wakirudi wanakaa kimya hawana maelezo yoyote. najua atapatikana japo hatakuwa na maelezo

Gotcha mkuu

inauma sanaYalotokea kwa Roma Yalinisikitisha sana![]()