Mo Hawezi patikana..

Mo Hawezi patikana..

Kiukweli bora kuyasikia kwa jirani. Lakini ukiwa mke, mme mtoto au mzazi wa mhanga, jamani....ni jehanamu kamili maumivu ya moyo unayoyapata.

Kweli.tumuombee Mo apatikane mapema akiwa hai na tuzidi kuwaombea familia yake kipindi hiki kigumu ambacho hata lepe la usingizi hawalipati kwa mawazo........
Ni siku ya 3 sasa tajiri na mmoja kati ya watu walioajiri vijana wengi zaidi TZ haonekani.

Baada ya wiki watakaobaki na maumivu ni familia pekee huku jeshi la polisi litazidi kujinasibu kushikilia watu ambao kiuhalisia hata hawaelewi chochote.

Mipango ya kumteka mtu kama Mo haiwezi fanywa na zaidi ya watu 5 tena wanaofahamiana vyema. Naona kabisa nafasi ya Mo kuonekana akiwa salama ni ndogo sana. Yote kwa yote Ulinzi wa Mungu umuangazie huko aliko Jeshi letu halitaweza kamwe kufanikisha kumpata
 
77afbbcc-543d-4789-973e-2ff5b4e2cbee.jpg
 
Kuomba msaada kwa taasisi za kimataifa sio dhambi kama wahalifu wamekuwa too smart kuliko uwezo wetu. Wala kuwaruhusu kutusaidia si kukiri udhaifu maana sio lazima tuweze kila kitu. Ndio maana hata kwa mfano wa hospitali tuna za wilaya, mkoa na rufaa
Polisi hawa wa bongo kwa sasa wanasubiria tu muujiza utokee...
 
Kuomba msaada kwa taasisi za kimataifa sio dhambi kama wahalifu wamekuwa too smart kuliko uwezo wetu. Wala kuwaruhusu kutusaidia si kukiri udhaifu maana sio lazima tuweze kila kitu. Ndio maana hata kwa mfano wa hospitali tuna za wilaya, mkoa na rufaa
I think that will not happen labda angekuwa ametekwa pole×2
 
Mimi naamini atapatikana akiwa hai na mzima wa afya….
Hii drama ni SADAKA YA UPATANISHO NA BABA….
1. Makontena
2. Mapato duni dhidi ya makao makuu
3. Watoto kutekwa
4. Mwendokasi

Labda huyo aliyemteka kahofia nyota yake kufifia, ameamua kusafisha nyota kimtindo…
Mimi naamini kabisa MO atarudi kwa uwezo wa MWANA.
 
Ni siku ya 3 sasa tajiri na mmoja kati ya watu walioajiri vijana wengi zaidi TZ haonekani.

Baada ya wiki watakaobaki na maumivu ni familia pekee huku jeshi la polisi litazidi kujinasibu kushikilia watu ambao kiuhalisia hata hawaelewi chochote.

Mipango ya kumteka mtu kama Mo haiwezi fanywa na zaidi ya watu 5 tena wanaofahamiana vyema. Naona kabisa nafasi ya Mo kuonekana akiwa salama ni ndogo sana. Yote kwa yote Ulinzi wa Mungu umuangazie huko aliko Jeshi letu halitaweza kamwe kufanikisha kumpata
me mwenzenu akili yangu inanipa kuwa MO itakuwa katekwa na CIA,, serikali ya Tanzania wala haiusiki kabisa,, hata wachunguzi wa nje wasitoke america nahis,,, hisia zinanipa ivyo kutokana record ya marekani ilivyo,, hatuwezi jua lakini kutakuwa na namna tu,, serikali haina bifu na MO ,si la kisiasa wala kiuchumi,, japo mazuzu wachache wa lumumba kama huyu Barbarosa Na kahaba ISIS wanafurahia kutekwa kwa MO kwa kudhani labda kuna mkono wa mkuru wao,kumbe sivyo kabisa, hapa tuombe wachunguzi haraka kutoka russia au uingereza,,,isiwe israel wala america
 
Wazee wa simba wasome albadir wahusika wote wa mkasa huu wachizi na mo apatikane.matukio haya yatakomeshwa na Mungu tu
 
Back
Top Bottom