Mnyika's refusal of talking about his private life dissapoints Clouds FM

umarekani kwa watanzania masikini haupendezi...
huyo Diva angechagua watu wa kuwahoji
mbona kuna watu kibaao ambao wanatamani kuhojiwa mambo yao binafsi...
lazima wanasiasa?
 
Mimi nilisikiliza hicho kipindi. Mnyika hakwenda kwa Diva bali alipigiwa simu na Diva na akaanza kuulizwa maisha yake ya kimapenzi. He was short and clear kuwa hapendi maisha yake binafsi yaongelewe publicly kama haina sababu za msingi. Ndo Loveness akajisikia vibaya.

My take. Mnyika was very right. si kila mtu anapenda kuongelea maisha yake binafsi redioni. Mbona hawampigii Tyson kumuuliza kama ana mke na alimpataje?

Wait a minute...so just out of the blue Diva decided to hit him up and started prying into his private life? That the whole interview thing wasn't planned? That Mnyika is that unfamiliar with Diva and her show?

I'm having a hard time believing that was the case.
 
Mimi nadhani hapa tatizo ni Jakaya Kikwete, na sio Diva wala Mnyika...........Mimi kwanza hiyo redio huwa sina muda wa kuisikiliza ila kuna siku nililazimika kusikilizishwa kwa lazima nilipopanda daradara nikasikia sauti ikisema hivi
"Mimi Jakaya Kikwete Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, dunia niyako chaguo ni lako 2012" sasa kama Rais wa nchi anaingizwa kwenye kuingiza vocal za kupromoti redio vitu ambavyo wanapaswa kuvifanya kina Shagy na 50 cent mnategea hawa watangazaji watakuwa na adabu! si watadhani watu wote ni wajinga wajinga tu? Huyo Diva mwambieni ampigie JK amuulize kwanza ana wake na watoto wangapi?
 
umarekani kwa watanzania masikini haupendezi...
huyo Diva angechagua watu wa kuwahoji
mbona kuna watu kibaao ambao wanatamani kuhojiwa mambo yao binafsi...
lazima wanasiasa?

Kwa nini Mnyika akubali kuwa kwenye kipindi cha Diva?

Au hawakuwa wamepanga kuwa yeye Mnyika atakuwa mgeni (kupitia simu) kwenye hicho kipindi? Nasita kabisa kuamini kuwa hawakuwa wamepanga tokea awali na kwamba Diva alimvutia tu waya Mnyika bila taarifa.
 
Wait a minute...so just out of the blue Diva decided to hit him up and started prying into his private life? That the whole interview thing wasn't planned? That Mnyika is that unfamiliar with Diva and her show?

I'm having a hard time believing that was the case.
Kwani wewe ni lini uliwahi kuwa Against Wafu fm?..........
Am just thinking!!
 
For sure, Individual has the right to decide what to disclose or not . Individual privacy should be respected....period!. The root problem here is not Mr. Mnyika because his explanations were clear, but lack of focus and creativity of Radio program producer and presenter! Two things are Obvious here:
1: You know that Mnyika is a Politician, why did you contact him in the first place if you knew your session is about Love? Did you want to discuss political love?

2: Secondly, is it a MUST for everybody called by your presenter to discuss personal life? Why didn't you call Eric Shigongo who write love books? This is what i call lack of Focus and lack of creativity!

Radio presenters in Tanzania lack Vision, lack focus, lack creativity. I won't be surprised one day you call Obama to discuss Love...

Actually this is NOT Mnyika's problem, its RADIO Producer and Presenter's lack of vision.

LET POLITICS BE FOR POLITICIANS AND LOVE BE FOR LOVERS!

HAPA MSHAMBA NI DIVA MWENYEWE, PRODUCER WA KIPINDI NA CLOUDS FM! PERIOD!

Mtangazaji mahiri na maarufu wa kipindi cha Ala za Roho kinachorushwa na Clouds Fm ametoa siri kuhusu mahojiano yake na Mnyika. Siri hizo ni pamoja na ushamba wa Mnyika kuingiza mambo ya umma na maji katika kipindi kinachohusu mapenzi. Diva amesema pia Mnyika alitambua kwamba Diva alikasirika na kumkatia simu baada ya kukaa kujibu swali rahisi kabisa kuhusu mapenzi.

Diva ametoa sauti ya mahojiano yake hayo aliyoyafanya na Mnyika baada ya kumpigia simu na kumrekodi akimuuliza iwapo ana Girl Friend ambapo Mnyika alikataa kujibu wa kisingizio kuwa masuala yake binafsi sio ya kuyazungumza kwenye vyombo vya habari bali mambo ya umma pekee ndiyo anayoweza kuyatolea kauli kwenye vyombo vya habari.

Madai hayo yanasikika kupitia: DIVA VS MNYIKA by DivaAKAmimi on SoundCloud - Create, record and share your sounds for free

Mnyika alitoa madai hayo huku akitambua kwamba yeye ni mwanasiasa hivyo maisha yake binafsi yanapaswa kujulikane yote kwa umma bila kuficha kitu chochote.

Hali hiyo ilimfanya Diva achukie na kukata simu bila mahojiano hayo kwa njia ya simu kukamilika, hali ambayo ilimfanya Mnyika atambue kama anavyosikika kupitia: DIVA VS MNYIKA- BEHIND THE SCENE by DivaAKAmimi on SoundCloud - Create, record and share your sounds for free

..........ndiyohiyo
 
Mabinti wa kibongo bana full time wanawaza ngono tu! Who si diva by the way? Kwani hakukuwa na maswali mengine ya kimaendeleo au kwa vile yeey anaongelea mapenzi basi kila mtu lazima aongelee habari hizo? Kwanini asingemuuliza kama ananyumba au anakiwanja? Kwangu mimi haya ndiyo maswali ya msingi kabla ya huo ***** mwangine! Hivi huyo diva anaweza kuelezea ameshatoa mimba mara ngapi?
 
Kwani wewe ni lini uliwahi kuwa Against Wafu fm?..........
Am just thinking!!

Mimi sifuatagi mikumbo. Ninapoona pana makosa nitakosoa. Ninapoona hapana haki nitatetea.

Kipindi cha Diva kinajulikana wazi. Na wageni wa hicho kipindi huwa wanaulizwa maswali yanayoendana na format ya kipindi.

Hiyo audio soundbite nimeisikiliza. Hakuna alichouliza Diva kilichokuwa nje ya mstari. Diva kauliza tu kama Mnyika ana rafiki wa kike. Hakuna ubaya wowote hapo.
 
Narudia Ujumbe huu hapa kwa msisitizo

For sure, Individual has the right to decide what to disclose or not . Individual privacy should be respected....period!. The root problem here is not Mr. Mnyika because his explanations were clear, but lack of focus and creativity of Radio program producer and presenter!

Two things are Obvious here:
1: You know that Mnyika is a Politician, why did you contact him in the first place if you knew your session is about Love? Did you want to discuss political love?

2: Secondly, is it a MUST for everybody called by your presenter to discuss personal life? Why didn't you call Eric Shigongo who write love books? This is what i call lack of Focus and lack of creativity!

Radio presenters in Tanzania lack Vision, lack focus, lack creativity. I won't be surprised one day you call Obama to discuss Love...

Actually this is NOT Mnyika's problem, its RADIO Producer and Presenter's lack of vision.

LET POLITICS BE FOR POLITICIANS AND LOVE BE FOR LOVERS!
 
Mnyika hakutakiwa kwenda kwenye hicho kipindi; wanasiasa wanaojipeleka huko na kufunua mambo yao wanajiweka katika hali ya kufunuliwa zaidi. Ila hata hivyo nimependa majibu ya Mnyika ambayo ni very standard and well thought and reasoned.
 
Diva: Mh. eti uko na girlfriend?
JM: Mh, hapana. Siko tayari kuzumngumza mambo yangu binafsi.
Diva: mxxxxccchhxxxxxxx (msonyo)

Sasa huyu binti naye alitegemea nini? Bora hata ange-inquire kuhusu wife (au hata mchumba), but girlfriend? Ha, hivi hata wazazi huwa tunawaambia kuhusu girlfriends zetu kweli?
 
Mabinti wa kibongo bana full time wanawaza ngono tu! Who si diva by the way? Kwani hakukuwa na maswali mengine ya kimaendeleo au kwa vile yeey anaongelea mapenzi basi kila mtu lazima aongelee habari hizo? Kwanini asingemuuliza kama ananyumba au anakiwanja? Kwangu mimi haya ndiyo maswali ya msingi kabla ya huo ***** mwangine! Hivi huyo diva anaweza kuelezea ameshatoa mimba mara ngapi?

Muundo wa kipindi ni masuala ya kimapenzi. Sasa wewe unataka wazungumzie mambo ya Arumeru?
 
Mnyika yupo sawa kabisa maisha yake binafsi yabaki kuwa binafsi angejibu ana girlfriend au mchumba then what!!
 
Mnyika hakutakiwa kwenda kwenye hicho kipindi; wanasiasa wanaojipeleka huko na kufunua mambo yao wanajiweka katika hali ya kufunuliwa zaidi. Ila hata hivyo nimependa majibu ya Mnyika ambayo ni very standard and well thought and reasoned.

Yes, hata mimi nakubaliana na wewe kuwa Mnyika asingeenda kabisa kwenye hicho kipindi. It's just not his thing. Nevertheless, he was a good sport.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom