Mnyika's refusal of talking about his private life dissapoints Clouds FM

Kwa mtazamo wa haraka haraka Radhia umejaa wivu na husuda juu ya JJ. Kama vipi si umuibukie FB kwenu kule halafu send Invitation to treat huenda akakutumia offer. Ila kwa comments zako unaonekana ajuza na ninavyonfahamu Jj wanawake wazee na yeye mbalimbali.
Kama una hamu mtafute womanizer Adam Malima atakupa tu dudu
 
Jamaa mshamba kweli. Anaulizwa na Diva kama ana girlfriend anajibu ooh maswala ya siasa yasichanganywe na siasa. Clouds wakaamua kumkatia simu. Yaani huyu jamaa anafikiri kila sehemu ni kuuza siasa tu? Hajui hata Obama mwenyewe huwa anahojiwa na Alex Blastick, yule mcheza filamu za ngono? Huu ushamba huu wee Mnyika.

usimalaumu mnyika bure-waambie hao clouds wamuite mkulu wa nchi then wamuulize maswali ya ndani ndani kuhusu mambo hayo kama atajibu
 
wewe dada usitake kuleta umarekani wako hapa wa kuiga hadi mnatembea bila kuvaa chupi siku hizi...wewe kama unamtaka mnyika mtafute....hao clouds nani asiyewajua kuwa ni vibaraka wa ccm...basi wakuamuulize kikwete anawake wangapi tofauti na salma arafu tusikie ukweli wake
 
Sasa mbona ni kama unamponda tu? Kujua kuongea kitu kwa wakati muafaka si ndiyo ingekuwa pale! Halafu siyo kweli kuwa kukataa kuongelea mapenzi inamaanisha umakini wa mtu. Huyo Bush mwenyewe alikuwa anapiga story na Oprah. Mnyika nani bwaaaaanaaaaaaa?
Hapo ndipo unapoonyesha kuwa uwenda haupo katika kikundi cha raia makini wa nchi hii, nadhani sasa naweza ku'bet' kuwa mpaka sasa hivi haujui kwa nini serikali ya Tanzania imekataa sharti la Cameron wa Uingereza juu ya misaada.

Bush=/=(sio sawa sawa) na Mh.Mnyika anzia hapo kutafakari.
 
Kwa mtazamo wa haraka haraka Radhia umejaa wivu na husuda juu ya JJ. Kama vipi si umuibukie FB kwenu kule halafu send Invitation to treat huenda akakutumia offer. Ila kwa comments zako unaonekana ajuza na ninavyonfahamu Jj wanawake wazee na yeye mbalimbali.
Kama una hamu mtafute womanizer Adam Malima atakupa tu dudu

halafu ili iwe contract kuwe na offer and acceptance, intention to create legal relation, free consent, lawful consideration, capacity of parties, sasa inabidi Radhia Sweety afanye invitation to treat ili mi rector nije ni make offer!
 
Utakuwa Mnyika wewe.

...utakuwa Diva wewe, nadhani kinachokusumbua ni frustration na dissapointment kwamba hukupata ulichokihitaji kutoka kwa Mnyika.

nakushauri upate mtaalamu wa saikolojia akupe ushauri nasaha, katika maisha haya si kila njege ni njigi wala si kila njigi ni njege, jifunze objective thinking na utaona maisha ni rahisi tu lakini ukiwa extreme and conservative utapata shida sana kwani watu aina ya Mnyika wapo wengi tu.....

.....the best way to change people's attitude is to change yours...

ni ushauri tu, ukiamua kuendelea na upuuzi wako, its up to you...am off!!!!
 
naitwa JMK.Rais wa JMT.dunia yangu,chaguo langu......,....,..! Unashindwa kukaa na kutafakari mambo mahimu.nchi inamatatizo kibao,unabaki unarekodi mambo hovyohovyo tu.
kwani hiyo clip ni Jakaya huyu Rais wetu ndio huwa anaongea!! na sio Steve Nyerere ameigiza hiyo sauti?.......kama hiyo sauti ni Jakaya mwenyewe count hatuna Rais wala Rahisi tumeliwa mazima.
 
Maswali mengine bana,kwanini Diva asimtafute kwa wakati wake na wakiwa wawili ili amuulize?ya nini kuuliza maswali hayo kwenye public.
Mnyika yupo sahihi alichofanya kwa upande wake kaona sio swali la kumuuliza,sisi tunaumiza mawazo yetu na kugombana,ya nini.
 
it was like this, una GF?

Simple answe: haya ni maisha binafsi na sio ya uma. Maisha yangu, kaka, dada na mke au kama hivo ni yangu sio ya uma.

Clouds FM inakata simu,

Poa tu kata.

Bana hakusema hivyo. Alishtuka kidogo, ehe!! unakata simu? Lakini yote kwa yote ata mi niliipenda sana ile ya yeye kutofautisha maisha yake binafsi na ya siasa.
 
Jamaa mshamba kweli. Anaulizwa na Diva kama ana girlfriend anajibu ooh maswala ya siasa yasichanganywe na siasa. Clouds wakaamua kumkatia simu. Yaani huyu jamaa anafikiri kila sehemu ni kuuza siasa tu? Hajui hata Obama mwenyewe huwa anahojiwa na Alex Blastick, yule mcheza filamu za ngono? Huu ushamba huu wee Mnyika.

Naona umekuja kuleta hasira zako hapa baada ya kukosa nafasi ya kutokewa na Mnyika
 
Sasa mbona ni kama unamponda tu? Kujua kuongea kitu kwa wakati muafaka si ndiyo ingekuwa pale! Halafu siyo kweli kuwa kukataa kuongelea mapenzi inamaanisha umakini wa mtu. Huyo Bush mwenyewe alikuwa anapiga story na Oprah. Mnyika nani bwaaaaanaaaaaaa?
Radhia Sweet, una mchumba, boyfriend au ,ume?
 
Kuna watu wana vichwa vikubwa lakini ubongo wao ni sawa na mbuni.

Kuna wawili nawajua, radhia na diva!!
Kwa kuwa mpaka sasa hajajibu iwapo ana mime, mchumba au boyfriend na iwapo ameachika mara ngapi, basi hana hoja tena hapa mopendwa Radhia Sweety kwani anachohoji hataki kuhojiwa. Inawezekana yafuatayo: aliwahi kumtaka JJ Mnyika akapigwa chini, au ana matatizo ya kisaikolojia kuhusu suala zima la mapenzi, au anataka kumpata Mnyika lakini hajuia njia sahihi ya kumpata, au ametumwa na magamba kujichunia kwa mh akakwama sasa anaropoka:
1. Ushauri wangu: mumsamehe huyu mtu kwani ana frustrations zake.

2. Topic hii ifunfwe kwani tangu ameanza nadhani amepata support ya mtu mmoja tu

3. Aombewe ili pepo la ngono linalomsumbua limtoke
4. Wawepo watu wa karibu kuendelea kumshauri mara kwa mara juu ya wanaume ili asidhanie kila mwanaume hana misimamo juu ya maisha binafsi.

Nawasilisha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom