DAAH kweli umesema maji ubungo kibo ni shiida kweli, sijui wanamfanyia makusudi au vipi ?Tunashukuru Mungu mafisadi wa umeme nchini tumewajua, na hatua stahiki wachukuliwe. Bado hatujawajua wa Maji. Shinda ya maji tunayoipata wakazi wa kimara na sehemu za karibu kuna dalili nyingi sana za harufu za ufisadi. Tunatamani sana kuwajua hawa mafisadi na haki yao waipate.
Anamipango mingine hana mpango na jimbo lake tena.
wanaume kuwa muongo kiasi hiki ni dalili za kuchomekewa mhogo...
wanaume kuwa muongo kiasi hiki ni dalili za kuchomekewa mhogo...
Mmmghhh majungu haya, hujaona umeme umeona maji!!!
Hebu mwache aje atuletee maji watu tuna wiki hatujaoga
Kama wewe ni mchafukoge hata uwe na swimming pool huwezi kuoga.
Hebu mwache aje atuletee maji watu tuna wiki hatujaoga
Hebu mwache aje atuletee maji watu tuna wiki hatujaoga
I missed you so much, nimeshindwa kuzuia hisia zangu kama Profesa Muhongo kwa Escrow,. Welcome my Sweetie
Thanks darling... How are you?