SHIDA YA MAJI: Maboza, matenki na visima vyawa dili Dar

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Feb 26, 2021
949
2,865
Nianze kwa kuipongeza DAWASA kwa kujitahidi sana kuhakikisha Dar ina maji, tukilinganisha na Dar ya zamani, kwenye suala la maji kwa sasa Dar walau ni nusu pepo. Kwa uwezo wao DAWASA wamejitahidi, wameathiriwa na kiangazi kikali sana mwaka huu, lakini pia ni vyema DAWASA wakajipanga zaidi jinsi ya kukabiliana na athari hii.

Swali langu je, ikitokea kiangazi kinadumu kwa kipindi kirefu watafanyaje?

Maji ni biashara na inahitaji uzalishaji mkubwa ili mapato yazidi kuongezeka na umuhimu wa DAWASA uonekane sasa kama akitokea mwekezaji wa visima vya maji nchi nzima akapewa hiyo tenda na ajira za DAWASA zikakoma.

Ndiyo tutasikia kelele za nchi kuuzwa, tusingoje tudorole kama titisielo walivyodorola wateja hawana, tunasikia na miradi ya bandari watu wanapiga kelele wakiogopa ajira zao kukoma baada ya kuleta mshindani.

Ifike sehemu tuambiane ukweli wafanyakazi wanaofanya kazi kwenye biashara za serikali wawe wabunifu haraka kama siyo njia mbadala zitakuja kuwaweka pembeni, na kupoteza ajira za watu na kuongeza umasikini.

Tumeanza kuzoea kuishi bila maji wiki nzima, kwa ufupi nchi yetu watu wengi maskini kuanza kununua maji dumu moja la lita 20 au ndoo moja kwa buku inaumiza sana. Jirani yangu jana alishindwa kwenda kwenye shughuli zake kwa sababu hana maji siku ya nne.

Hajaoga, maji nyumbani kwake yameisha, foleni ya maji yanayopatikana sijui ilianza lini na kuisha lini, kila akienda watu wanachota haijalishi ni saa tano usiku au saa kumi na moja alfajiri, mtu anakuja na dumu 30 anapanga mstari na hawa ni wengi. Wananchi wamehamia kwenye kisima kufua, vyoo na kuogea huko, halafu nako ni foleni.

Jana mchana kaenda kucheki maji ya kuoshea vyombo hakuna akaviacha, jioni akaenda kula chips walau ndiyo vyakula vya kukaanga havina madhara sana maji yasipokuwepo, ila akakuta maji yanayooshea viazi ni machafu kuliko ambayo angeoshea viatu.

Akatoka zake kwenda kwa ndugu yake mitaa ya Tabata ana kisima cha maji akaambiwa gari zinasomba maji kupeleka mitaani lita 500 kwa shiligi 13,000. Loh salalee, maji yameshakuwa dili kama majenereta yalivyokuwa dili Kariakoo kwa sababu ya kukatika kwa Umeme mara kwa mara.

Miaka 60 ya uhuru, waliozaliwa tunapata uhuru ndiyo wanastaafu ila hatuna vyanzo vya uhakika vya maji kwenye jiji kuu la biashara na mji mkuu kama Dar es Salaam na Dodoma. Chanzo chetu kimoja tu mto ruvu, sasa vipi tukihujumiwa?

Kama unataka kujua hali ya maji nenda mto Ruvu kuanzia vyanzo vyake, lakini pia nenda YouTube katazame video ambayo JPM aliwabamba jamaa wa idara ya maji ambao walimpa siri kuwa kuna hujuma ya kufungulia maji na kuyapunguza katika catchment area ili usambazaji ushuke jamaa wauze hayo maji.

Kama ni mgao wa nchi nzima mbona huko Msasani, Oysterbay na Masaki yasikatwe na yatoke saa 24 kama kawa? Wote tunafahamu kuwa kumekuwa na changamoto ya maji safi ambayo pamoja na juhudi kubwa za Serikali inachukua muda kupata suluhu, kwani kila wakipunguza eneo moja kuna eneo lingine linaongezeka kwa upungufu!

Tatizo
1. Visima/chemchem nyingi zimekauka/zinaendelea kukauka.
2. Kuchimba kisima kwa mashine kuonekana kuwa ni anasa.
3. Kufanya maji ni biashara (hapa simaanishi watu waache kulipia bili).

Tumeanza kuzoea kuishi bila maji wiki nzima, kwa ufupi nchi yetu watu wengi maskini kuanza kununua maji dumu moja la lita 20 au ndoo moja kwa buku inaumiza sana.

Tuchachamae ni kwanini baada ya miaka 60 ya uhuru nchi haina maji ya uhakika kutoka vyanzo mbalimbali vya uhakika ambavyo hata mabadiliko ya tabia nchi yakitokea kutakuwa hakuna athari zozote kwenye upatikanaji wa maji?

Ushauri kwa sasa
1. Kila wilaya, tarafa, kata, na vijiji vitambue maeneo yao yenye chemchem/yaliyokuwa na chemchem siku za karibuni, wahakikishe wanapanda miti kwenye eneo husika (msitu wa asili) wa ile miti ya maji (isiyokausha maji). Hii ni pamoja na kutoruhusu kabisa shughului za maendeleo katika maeneo ya chemchem. Kwa kufanya hivyo watajihakikishia visima kuendelea kuwepo. Wilaya inaweza kusaidia kuandaa bustani ya miti husika

2. Watu wenye uwezo wa kuchimba visima virefu kwa ajili ya matumizi ya nyumbani waruhusiwe bila masharti au pengine mashart nafuu kabisa ya kuwaelekeza waweke mazingira watu wa eneo husika (majirani) waweze kuchota maji kwao bure, au pengine kwa kuchangia gharama za umeme.

3. Wanachi au mtu binafsi mwenye uwezo wa kusambaza maji katika eneo lao wasiingiliwe, sijui wawekewe mita n.k, kwani hiyo ni sawa na kuchota maji kwenye kisima.

4. Serikali iendelee na utaratibu wake wa kupeleka maji maeneo ambayo hayana au hayafiki kwa urahisi na kutoza gharama za uendeshaji.

5. Maji yawe huduma na siyo biashara.

Nimalizie kwa kushauri DAWASA wajenge bwawa la maji, miji yote mikubwa Duniani hupata maji toka kwenye reservoirs, kama DAWASA hawawezi kuwekeza kwenye desalination kuliko kutegemea maji ya mito ambayo muongo mmoja baadae itatokea kama mji wa Cape Town?

Hivi kweli miaka nenda rudi wanategemea mto Ruvu, kwamba DAWASA hamjaliwekea utaratibu suala la kuongeza vyanzo vya maji vipya kila baada ya miaka mitano?

Nikiishia hapa, mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854

  • Bachelor of Business Administration in International Business.
  • Master of Leadership and Management.

Recent Publication:
- Assessment on the Effects of Micro - Financing on Poverty Reduction.
 
Mkuu hiyo publication yako ipo Journal gani nikaisome?
 
Link ya hiyo publication ya Micrfinancing on Poverty Reduction iko wapi mkuu.
 
Mkuu umeongea pwenti tupu!

Miaka yote 60 kweli hakuna hata "profesa" mmoja kuweza kushauri lijengwe Dam mto Ruvu kunasa maji yote yanayotiririshwa mtoni ili yaweze kutumika kwa muda wote?
 
Back
Top Bottom