Mnyika - Rudi sasa Huku kwako tuna shida ya maji

BABA E's

JF-Expert Member
Dec 25, 2012
354
134
Tunashukuru Mungu mafisadi wa umeme nchini tumewajua, na hatua stahiki wachukuliwe. Bado hatujawajua wa Maji. Shinda ya maji tunayoipata wakazi wa kimara na sehemu za karibu kuna dalili nyingi sana za harufu za ufisadi. Tunatamani sana kuwajua hawa mafisadi na haki yao waipate.
 
Hivi maji ya dawasco yapo dar???

Huku nilipo maji ya bpmba mara ya mwisho kutoka ilikuwa enzi za NUWA
 
Tunashukuru Mungu mafisadi wa umeme nchini tumewajua, na hatua stahiki wachukuliwe. Bado hatujawajua wa Maji. Shinda ya maji tunayoipata wakazi wa kimara na sehemu za karibu kuna dalili nyingi sana za harufu za ufisadi. Tunatamani sana kuwajua hawa mafisadi na haki yao waipate.
DAAH kweli umesema maji ubungo kibo ni shiida kweli, sijui wanamfanyia makusudi au vipi ?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom