BABA E's
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 354
- 134
Tunashukuru Mungu mafisadi wa umeme nchini tumewajua, na hatua stahiki wachukuliwe. Bado hatujawajua wa Maji. Shinda ya maji tunayoipata wakazi wa kimara na sehemu za karibu kuna dalili nyingi sana za harufu za ufisadi. Tunatamani sana kuwajua hawa mafisadi na haki yao waipate.