Mnyika - Rudi sasa Huku kwako tuna shida ya maji

Hivi inakuwaje Dar kuna bahari halafu watu wanalalamika hakuna maji? Si muende mkachote maji baharini.
 
Hivi inakuwaje Dar kuna bahari halafu watu wanalalamika hakuna maji? Si muende mkachote maji baharini.

Mpwa bahari iko Ikulu na hawaruhusu watu kwenda kule, nadhani wanahofia watu kuuliza mmiliki wa IpTL ni nani, ndio maana tunaishia huku huku
 
Back
Top Bottom